nyamakonge
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 363
- 131
Wakuu MKUTANO utafanyka MAGOMEN MWALONI kuanzia sa tisa alasiri.tukutane pale kwa umoja wetu,,MUNGU AULINDE NA KUUSIMAMIA AEPUSHE HILA ZA MAGAMBA NA WOTE WASIOITAKIA MEMA CDM.TUNATUPILIA MBALI UMWAGAJI DAMU KWA NJIA ZOZOTE.AMENI
Wahuni ni chama chako wanaotembea na tindikali .Jamani wabunge wa CDM jihadharini kuna hujuma kubwa mnataka kufanyiwa (wabunge wa Mza.)Chama hamna humo ni genge la wahuni wachache.
Yale maandamano ya kumng'oa Meya yameishia wapi?
Chama hamna humo ni genge la wahuni wachache.
Wakuu MKUTANO utafanyka MAGOMEN MWALONI kuanzia sa tisa alasiri.tukutane pale kwa umoja wetu,,MUNGU AULINDE NA KUUSIMAMIA AEPUSHE HILA ZA MAGAMBA NA WOTE WASIOITAKIA MEMA CDM.TUNATUPILIA MBALI UMWAGAJI DAMU KWA NJIA ZOZOTE.AMENI
Chama hamna humo ni genge la wahuni wachache.
Kweli we ndio baba lao na naomba niwe sahihi kwamba hutokei kigoma!
makamanda njooni hata kigoma mbona mmetususa. tangu 2010 hakuna hata kiongozi aliye kuja kg. wanajamvi nisaidien kwa hili
Nilikua safarini Msoma, imebidi niairishe safari mpaka kesho. Uwanja Ushaanza kupendeza.