- Thread starter
- #41
hivi ndivyo vyombo vya habari vinavyotakiwa kufanya kazi, bila kuogopa chama tawala au dola, ilimradi tu havivunji sheria. NasikiaMh Mbowe juzi kwenye ziara yake Clouds FM, ilikuwa ni pamoja na kuwapa hilo dili la kurusha matangazo ya huo mkutano, majamaa yakakataa, pamoja na kwamba sio bure.. toka nipate hizo habari nimeweka nadhiri ya kutokusikiliza clouds fm kwa muda wa maisha yangu yote, nanyi fanyeni hivo...
Mkuu Clouds TV inaishia Magomeni