Mkutano wa CHADEMA kurushwa Live na ITV siku ya Jumamosi, Jangwani

kuna post ya William malechela anasema wataoka CCM akimpa pole mbunge wa rombo
nadhani soon atajumuika na chadema kama sijamwelewa ndivo sivo
ameshajua ukweli hakuna jema litokalo CCM kwa sasa
aingie chadema apambane kuimboa nchi utumwani na umaskini

No umemuelewa vibaya mkuu,alichomaanisha ni kumuombe Kamanda Selasini apone haraka ili waungane "kurekebisha Taifa" wengine kutokea Cdm na wao (kina William) kutokea C.c.m,sema alichokiri hapo nahisi bila kujijua ni kua taifa lina hali mbaya chini ya MAGAMBA hivyo linahitaji KUREKEBISHWA na MAGWANDA
 
Mtaalamu wa Jangwani Kamanda Mabere Marando atakuwepo siku hiyo akishusha nondo kama siku ile ya ufunguzi wa kampeni za 2010 ambapo ilibidi TBC wakate matangazo.

TUMBIRI wa JF,

tumbiri@jamiiforums.com
 
Haiwezi kuwa kirahisi namna hiyo Serikali na Upinzani rasmi ukakubali anga litumike kurusha scud zitakazoshindilia kaburi lao. Ikiwa hivyo ujue "Kidatu" itakaushwa na gharama za kutumia TV katika uvumishaji itakuwa sawa na namba kubwa ndani ya mabano iliyozidishwa na sifuri ndogo.
 
mtukumbuke na sisi wa huku Rorya ingependeza pia mkutano huo ukatangazwa kwa njia ya redio ili ujumbe muhimu wa siku hiyo uwafikie watanzania wengi hasa sisi tunaoishi vijijini.
 
Wakazi wa dar jipangeni kuelekea jangwani hiyo jumamosi. Gahawa na ushabiki kwa magamba havita tukomboa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hawana Jipya CDM.... Niache shughuli zangu za muhimu nawaangalia wao, wananisaidia nini.. Poor u. Fooled by these politicians.. Laiti mngeyajua maisha wanayoishi hao viongozi wa Chadema.. Haya potezeweni muda hiyo j'mosi
 
Hawana Jipya CDM.... Niache shughuli zangu za muhimu nawaangalia wao, wananisaidia nini.. Poor u. Fooled by these politicians.. Laiti mngeyajua maisha wanayoishi hao viongozi wa Chadema.. Haya potezeweni muda hiyo j'mosi

una matatizo makubwa ya akili, au labda unanufaika na huu mfumo uliopo, ngoja sisi tutest mabadiliko.
 
una matatizo makubwa ya akili, au labda unanufaika na huu mfumo uliopo, ngoja sisi tutest mabadiliko.

Ninanufaika sana na nilishanufaika nao sana.. Wewe hapo ulipo unatype bila uwoga wowote kwa sababu ya mfumo huu huu, sasa CDM wakishika hii nchi ndio utaTEST vizuri uone fujo zao...
 
- Mkuu safari hii ninakuja nijioneee mwenyewe M4Cee, peoples power are you coming? Wallahi this one I am coming!!

William.

Mkuu ushauri wa bure,jumamosi vua gamba rasmi uvae gwanda ili upikwe ki uwana mageuzi tayari kwa MTERA 2015
 
Hii ni salamu na fulsa tosha sana kuwaonyesha live through Television wananchi wa kusini (Lindi na Mtwara) wajionee
wenyewe CDM inavyomwaga sera na kukubalika na watanzania waliowengi....nawaombeni wakazi wa kusini muipokee
CDM kwa mikono miwili na miyoyo safi...Chadema ndiyo tumaini pekee lililobaki kwa watanzania! Tazameni ITV Jmosi.

Mungu ibaliki Chadema, Mungu wabaliki wakazi wa Mtwara na Lindi
 
Mkuu ushauri wa bure,jumamosi vua gamba rasmi uvae gwanda ili upikwe ki uwana mageuzi tayari kwa MTERA 2015

- Huku Msondo saa izi ni Binti Maringo inapigwa yaani saafi sana wazawa watupu kwenye bendi, Lusungu kwenye usukani, pembeni kuna Moshi JR na bro Sanga, Mzee Gurumo naye yupo hapa yaani super sana, well nitakuja jumamosi kuona peoples power na hiyo m4fcee,

- Siasa sio ugomvi wala uadui!,

William.
 
hivi ndivyo vyombo vya habari vinavyotakiwa kufanya kazi, bila kuogopa chama tawala au dola, ilimradi tu havivunji sheria. NasikiaMh Mbowe juzi kwenye ziara yake Clouds FM, ilikuwa ni pamoja na kuwapa hilo dili la kurusha matangazo ya huo mkutano, majamaa yakakataa, pamoja na kwamba sio bure.. toka nipate hizo habari nimeweka nadhiri ya kutokusikiliza clouds fm kwa muda wa maisha yangu yote, nanyi fanyeni hivo...
 
Back
Top Bottom