Mkutano wa CCM Sinza C wadoda

Mkutano wa CCM Sinza C wadoda

wooden flag

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
969
Reaction score
1,949
Wana jukwaa wasalaam,
Leo ccm ndio wanafungua kampeni zao kata ya Sinza C. Kwa kweli wamefunga mziki mzito sana lakini cha ajabu ni kwamba wamekodi wahuni toka tandale halafu wamewavisha t-shirts za ccm Sinza C, hamna la maana linalofanyika zaidi ya nyimbo za taarabu na kuwapa vijana soda na bia
 
Attachments

  • 1417873459395.jpg
    1417873459395.jpg
    148.9 KB · Views: 3,056
Hapo mbele ya kijiwe ni maji taka/ machafu? au ndo bia zimenywewa mpaka kumwagika
 
hadithi hadithi...hadithi njoo uongo njoo...heading yako mkutano wa ccm wadoda maelezo yako wamekodisha vijana wakawapa t-shirt na bia....unachekeeeesha kama sio shida....hao ni wana CCM wa mtaa huo wa sinza C na ukiona vijana wengi ujue CCM ina mizizi mpaka kwa vijana na matokeo utayaona 14 disemba
Wana jukwaa wasalaam,
Leo ccm ndio wanafungua kampeni zao kata ya Sinza C. Kwa kweli wamefunga mziki mzito sana lakini cha ajabu ni kwamba wamekodi wahuni toka tandale halafu wamewavisha t-shirts za ccm Sinza C, hamna la maana linalofanyika zaidi ya nyimbo za taarabu na kuwapa vijana soda na bia
 
hadithi hadithi...hadithi njoo uongo njoo...heading yako mkutano wa ccm wadoda maelezo yako wamekodisha vijana wakawapa t-shirt na bia....unachekeeeesha kama sio shida....hao ni wana CCM wa mtaa huo wa sinza C na ukiona vijana wengi ujue CCM ina mizizi mpaka kwa vijana na matokeo utayaona 14 disemba
Tulia sindano iingie
 
Attachments

  • 1417875579930.jpg
    1417875579930.jpg
    115.8 KB · Views: 894
Yani hakuna tofauti na mtaa wa ubungo hapa shekilango napo wamefungua rasmi pia umedoda hivyo hivyo
 
Picha za ufunguzi wa kampeni za ccm mtaa wa Sinza na shekilango haluna tofauti...uitikio mdogo
 
Attachments

  • 1417878639710.jpg
    1417878639710.jpg
    57.4 KB · Views: 747
Hata hapa sinza A ni majanga matupu kwa chama hiki cha CCM. Wameweka mziki mkubwa, huku wanahutubia miti na nyumba na baa. Kazi wanayo. Hapo sinza C nilipita mida ya saa nane na ushei. Hakukuwa na lolote. Ni pale kwenye uwanja wa mpira ambao hutumiwa na wanafunzi wa shule ya msingi Grace.

Poleni CCM.
 
wahuni hawa ccm aibu tupu ndomana naona wale vijana wa ccm interahamwe siwaoni kwenye uzi huu kila wakinusa wanarudi nyuma shaaaaabashi
 
CCM NI LAZIMA NA SIO OMBI IFANYE MABADILIKO YA MAKUSUDI DHIDI YA UFISADI ULIOTOKEA KUWAWAJIBISHA IKIBIDI KUWAFUNGULIA MASHTAKA UNLESS OTHERWISE....i dont know kazi yote ngumu ya kinana & nape itakuwa ni big "0"
 
Leo kigamboni kwetu tulikuwa na mzee slaa aliwapoteza mbaya CCM. CCM wamepiga nyimbo zao wakaja kutufanyia fujo watu wanawangalia tu
 
kweli miaka 9 mwenyekiti anatengeneza mabillionea badala ya kujenga chama, sina uhakika kama haya ndio matokeo! hawa jamaa bila uchakachuaji kama vilivyokwishaanza na mapingamizi yao hawatapata hata 20% ya matokeo!
 
Wana jukwaa wasalaam,
Leo ccm ndio wanafungua kampeni zao kata ya Sinza C. Kwa kweli wamefunga mziki mzito sana lakini cha ajabu ni kwamba wamekodi wahuni toka tandale halafu wamewavisha t-shirts za ccm Sinza C, hamna la maana linalofanyika zaidi ya nyimbo za taarabu na kuwapa vijana soda na bia
Yaani na bado, hichi chama ni genge la wahuni,wezi wa mali za umma na wahujumu wa uchumi; ikiwezekana hata kule kuwatazama kwa mbali tuaache kabisa,ccm weka mbali na Watanzania,ni dudu baya.
 
Jamani tujitahidi Chama changu naona hali Si shwari kila upande tutakuwa wageni wa nani?
 
Back
Top Bottom