Wana CCM wengi wanaikumbatia CCM kwa upofu tu bila kujua kuwa CCM ina wenyewe kama watu 45 tu hivi Tanzania nzima. Hao ndio mabilionea wa kutupwa. Wengine waliobaki ni walalahoi tu wanaodanganywa na vipesa vichache vya posho za vikao, chumvi, kanga na vitisheti vya kijani kila kukicha.. Hawa kuwaamsha kutoka usingizini ni kazi... Bado tuna safari ndefu!!!