Mkutano wa CCM Moshi: Nape aambulia aibu

Magesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
2,587
Reaction score
578
Mkutano wa Ccm uliofanyika katika viwanja vya Railway katika Manispaa ya Moshi hii leo jioni hata pamoja na kusomba watu na magari umekosa watu kabisa mkutano huo umeongozwa na NAPE NNAUYE Pamoja na Vijana waliofukuzwa CHADEMA MTELA MWAMPAMBA NA JULIANA SHONZA NA VIONGOZI WENGINE WA CCM MKOA.
 
Mkuu mbona unatokwa povu

Habari isiyokuwa na mbele wala nyuma,
Ungeweka hapa picha kidogo ungeweza kuwadanganya magwanda wenzako
au umekurupuka usingizi,

Haya ndio madhala ya kushikwa akili na Babu Slaa.
 
Mkuu ulikosa hata kapicha kidogo !
Nadhan anaogopa kufunguliwa mashitaka ya ugaidi, maana sasa hiv ukionekana unerecord record hovyo au kupigapiga picha unafunguliwa mashtaka ya kula njama za kufanya ugaidi.
 
Nape anavyotukana wachaga mtela na shonza wanavyowatukana wachaga nadhani hawasomi magaezi na redio haziskii hao ni wakuwapopotoa mawe hawana adabu kabisa wanatukana wananchi kwa kuchagua wakipendacho
 
Mkutano wa Ccm uliofanyika katika viwanja vya Railway katika Manispaa ya Moshi hii leo jioni hata pamoja na kusomba watu na magari umekosa watu kabisa mkutano huo umeongozwa na NAPE NNAUYE Pamoja na Vijana waliofukuzwa CHADEMA MTELA MWAMPAMBA NA JULIANA SHONZA NA VIONGOZI WENGINE WA CCM MKOA.

Thanks, but always, picture speaks louder than words!! tupiamo mapicha kiongozi
 
Nabado nawatakosa sana watu wanafikilia wakiwapa kesi viongozi wa Chadema ndio watapata wanachama
 
uzushi mtupu. Angalia gazeti lako kesho uone CHADEMA inavyoweweseka. Moshi si ngome ya CHADEMA tena. Huwezi kulinganisha Marealle na Sungusia, Mrema, Mushi na wengine.
 
Wakitoka ccm kwenda chadema = OIL CHAFU

Wakitoka chadema kwenda ccm = MATERIAL

Huu umbumbumbu wa ccm sijui utaisha lini...........
 
Mkutano wa Ccm uliofanyika katika viwanja vya Railway katika Manispaa ya Moshi hii leo jioni hata pamoja na kusomba watu na magari umekosa watu kabisa mkutano huo umeongozwa na NAPE NNAUYE Pamoja na Vijana waliofukuzwa CHADEMA MTELA MWAMPAMBA NA JULIANA SHONZA NA VIONGOZI WENGINE WA CCM MKOA.

:yo:ONGERA WAKINA MEKU WAKATAHENI HAWA CCM WANAO WADHIAKI,
 
uzushi mtupu. Angalia gazeti lako kesho uone CHADEMA inavyoweweseka. Moshi si ngome ya CHADEMA tena. Huwezi kulinganisha Marealle na Sungusia, Mrema, Mushi na wengine.

Kumbe wewe ndio mbunge wa Moshi saivi....Kwa hiyo CHADEMA si chama cha wachaga tena????
Moshi unaijua....Ndesa pesa huwa anafanya kampeni mara moja tuu....yaani SHOKA MOJA MBUYU CHALI!
 
uzushi mtupu. Angalia gazeti lako kesho uone CHADEMA inavyoweweseka. Moshi si ngome ya CHADEMA tena. Huwezi kulinganisha Marealle na Sungusia, Mrema, Mushi na wengine.

unazungumzia uhuru,habari leo,mtanzani na dailynews?hongeni ccm kwa kuyapati habari magazeti tajwa
 
Kosa sana kutoweka picha!!! Mnaogopa Nape atadhalilika au Amepiku mahudhurio ya M4C?
 
imagejpeg
 
Back
Top Bottom