Mkutano wa CCM Moshi: Nape aambulia aibu

Mkutano wa CCM Moshi: Nape aambulia aibu

Nashangaa Wachagga kuwa CCM. Si CHADEMA hawa? Jamani,unafiki haufai...shame
 
Hili tawi linalosemekana kufunguliwa mbona lilikuwepo? Watu washajipigia pesa hapa ndi mambo ya uchaggani hayo wanajua jinsi ya kutumia pesa za maccm...mzee wangu aliwahi kua na duka hapo miaka ya 90,panaitwa Mbuga starehe.
 
Wakitoka ccm kwenda chadema = OIL CHAFU

Wakitoka chadema kwenda ccm = MATERIAL

Huu umbumbumbu wa ccm sijui utaisha lini...........

Badilisha kidogo hapo kweny RED sema wakifukuzwa
 
Back
Top Bottom