Mkutano wa CCM Moshi: Nape aambulia aibu

Mkutano wa CCM Moshi: Nape aambulia aibu

Picha hizi hapa ImageUploadedByJamiiForums1365270511.063497.jpg
 
unazungumzia Moshi ipi hiyo mkuu, maana nituavyo mimi toka mwaka 2000 nyinyiemu ni chama cha upinzani.
 
Kweli akina MANGI wastaarabu,yaani hao jamaa hawajapopolewa pamoja na matusi(kaulizote) wazielekezazo kwa wachaga?Na dhi wanadhemaga CHADEMA ni cha wachaga??Thatha kumbe bado wanaitamani KILIMADHARO???Teh,teh,teh!Khoh!thatha kama wapare nao wamewakana hiyo kilimadharo dhi wataithahau milele na milele!!Shigha tuphone.
 
hivi nape kweli unaakili hapo moshi hata ukija na kimada wako,mnachezea patupu,shughuli mnayo
 
Hivi akina Shonza na Mtela nani anawasafirisha? Na vipi Chemba ajaanza kumnyemelea Bi Shonza? Maana kwenye matukio kama haya uwa achezi mbali.
 
Mkutano wa Ccm uliofanyika katika viwanja vya Railway katika Manispaa ya Moshi hii leo jioni hata pamoja na kusomba watu na magari umekosa watu kabisa mkutano huo umeongozwa na NAPE NNAUYE Pamoja na Vijana waliofukuzwa CHADEMA MTELA MWAMPAMBA NA JULIANA SHONZA NA VIONGOZI WENGINE WA CCM MKOA.

Nahisi kuna mabadiliko makubwa JF kutoka kuwa ya Great Thinkers kuwa ya Great Stingers. Hutupost Facts bali ushabiki wa vyama iivyetu
 
Nape kweli ni sikio la kufa nakumbuka mara ya mwisho anatembelea Moshi alipokelewa na mabango ya kejeli sehemu aliyotakiwa kufanyia mkutano( eneo la waz lilipo kati ya stend kuu na makao makuu ya polisi) bado leo amerudi tena! Pole sana Nape kwa ugumu wa kuelewa na kusoma alama za nyakati
 
uzushi mtupu. Angalia gazeti lako kesho uone CHADEMA inavyoweweseka. Moshi si ngome ya CHADEMA tena. Huwezi kulinganisha Marealle na Sungusia, Mrema, Mushi na wengine.

ccm inawanachma kwa wachaga halafu chama cha wachaga hakina wanachama kwa wachaga... Yesùu
 
Mahudhurio aibu ya mwaka,yule mpambe mleta uzi wa asubuhi yupo wapi nae aweke picha
 
Back
Top Bottom