paul nsangu
Senior Member
- Nov 23, 2012
- 179
- 32
Akampe story mwenyekiti wake anayeshinda akipiga picha na watu wote maarufu duniani!
Hivi ni lazima wafike mwaka 2015 hatuwezi kuamua mwaka huu ukawa wa mwisho kututawala maana tumechoka kutawaliwa tunataka kuongozwa....[/QU mkuu hawa watatuongoza wakati hawapajui tunapotaka kwenda, ndio mana tunaenda kwa kudra za uelekeo wa upepo,.tukisubiri 2015 ni mbali coz watz weng vjijin hawajaelimika wakipewa khanga na kofia wataisaliti nguvu ya umma...up chadema.! Up and run
Hahahahahahaaa....
View attachment 80976
Kapewa zigo ahangaike nalo.
View attachment 80977
Wakati mwenzake anakula maphoto tu..
View attachment 80978
Makamu mwenyekiti wa ccm taifa philp mangula amekuwa na wakati mugum sana mkoani iringa katika kuwahutubia wale alioamini kuwa ni wanchama wa ccm katka viwanja vya mwembetogwa mkoan hapa. Kiongoz huyo wa ccm (chichidodo) amejikuta akiwa na wakati mugmu sana pale aliposhindwa kutoa hoja za kimsingi zenye kutoa majibu ya kero za wananchi mkoan hapa. Kiongoz huyo alisisitiza vikao vya ndan vya chama na kuzid kuwachosha wanairinga waliosombwa kutoka isman, kalenga ,kilolo, pawaga, dabaga na sehem zingnezo.
Katka kile kilichoonekana kuwachosha wananchi hao na wananchi kutokuwa na imani na Mangula na ccm yake. aslimia kubwa ya watu waliohudhulia mkutano huo walionyesha alama ya vidole viwili wakionyesha imani yao kwa CHADEMA. Mungu wang chichidodo huyo alimanusula atoa mchoz jukwaan pale alipoona umati mkubwa ukimzomea kinyume cha mamtarajio yake , kwan hata wale waliovaa sare za kijan walioonyesha kumzomea zaidi.AMA KWELI KIFO CHA CCM IRINGA KIMEFIKA.
Una maanisha DHAIFU au?Akampe story mwenyekiti wake anayeshinda akipiga picha na watu wote maarufu duniani!