mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
Tunameamua kurusha mkutano wetu kupitia star tv kukinadi Tanzania nzima, karibuni wana Singida wote.
Nawasilisha.
Nawasilisha.
Kinana anahutubia sasa na kusema kuwa "viongozi wanafikiri kuwa wanajua kila kitu kumbe sio" na anaendelea kutoa shukrani
Tupa kule mkamuone vicky Kamata anaumwa kaachika.
Una Dengue nini?Mbona naona kilimo cha kahawa?Tunameamua kurusha mkutano wetu kupitia star tv kukinadi tanzania nzima karibuni wana singida wote.nawasilisha
una dengue nini?mbona naona kilimo cha kahawa?
una dengue nini?mbona naona kilimo cha kahawa?
angalia vizuri mitambo kidogo tunaweka sawa itarudi muda huu.punguza spidi
angalia vizuri mitambo kidogo tunaweka sawa itarudi muda huu.punguza speed
Kama kichwa cha
habari kinavyojieleza. Naona watu ni wawastani wamehudhuria wakiwa
wamevaishwa kijani na njano hapa.