Mkutano wa CCM Arusha Kesho

Mkutano wa CCM Arusha Kesho

Wakuu Jf,

Tokea Jana mapema Gari la matangazo limekuwa likipita maeneo mbalimbali mini Arusha Kuwait Luna Mkutano utakao fanyika maeneo ya Kilombero karibu na Hospitality ya Levolosi.

Msisitizo wa kufika ni mkubwa kutokana na Ajenda walizokuwa wakisema kwamba watazungumzia.

Tupia hizo agenda
 
Mtaswali mapema baada ya hapo nikasikilize sera tumechoka matusi ya akina lema na Chadema yao kila siku

Mara yamwisho kwenda mkutano wa hadhara ni sikuile slaa alisema nchi haitatawalika tena pale NMC nakufa wa watatu tangusiku hiyo niligoma kutolewa kafara na wachaga

Kumbe ndio maana mkutano umepangwa Ijamaa!?
Kwani ni mkutano wa chama au Mhadhara? Kama ndio hivyo nadhani kutakuwa na mabasi/malori kuanzia pale Bondeni na Masjid Quba kuelekea Kilombero. Tshirt, kanga na kofia zitagaiwa baada ya Mawaidha!
 
Utafanyika wapi? ccm hii ya kinana au? Akawafundishe watoto wa Arusha kuendesha magari yao
 
Wachaga wanaota ipo siku wataiongoza hii nchi kutokea moshi? Huu ndio ujinga wao.
 
Wakuu Jf,

Tokea Jana mapema Gari la matangazo limekuwa likipita maeneo mbalimbali mini Arusha Kuwait Luna Mkutano utakao fanyika maeneo ya Kilombero karibu na Hospitality ya Levolosi.

Msisitizo wa kufika ni mkubwa kutokana na Ajenda walizokuwa wakisema kwamba watazungumzia.
kama ni pale kwenye uwanja wa samunge sidhani kama watu watazidi Elfu mbili, mimi nitapita kwa mbali ili kuakikisha nisemavyo
 
Nadhani waende tu Songea na Tanga, vinginevyo kwenda A C ni kutafuta aibu tu!!!!
 
Kumbe ndio maana mkutano umepangwa Ijamaa!?
Kwani ni mkutano wa chama au Mhadhara? Kama ndio hivyo nadhani kutakuwa na mabasi/malori kuanzia pale Bondeni na Masjid Quba kuelekea Kilombero. Tshirt, kanga na kofia zitagaiwa baada ya Mawaidha!

Hakuna pilao au ugali na nyama ya ng'ombe?
 
Back
Top Bottom