Yaani wewe umenikumbusha MAREHEM Much Mtikila alivyojitolea kumsaidia yule kijana aliyedhulimiwa laki zake sita . Wana Jf mnakumbuka lakini?Hapa niko Mortuary naandaa kuleta Maiti ifufuliwe, nifanyie booking kabisa
Yaani wewe umenikumbusha MAREHEM Much Mtikila alivyojitolea kumsaidia yule kijana aliyedhulimiwa laki zake sita . Wana Jf mnakumbuka lakini?Hapa niko Mortuary naandaa kuleta Maiti ifufuliwe, nifanyie booking kabisa
Mkuu una akili ya Mgando aiseeAmeamua kuja kuwatapeli watu wa Mbezi sasa.
Ni kweli kwa Yesu uponyaji ni bure, lakini kwa "watumishi hawa wa siku za mwisho" ni ghali kuliko hata kwa waganga wa kienyeji. Kwa mfano, kuna huyu anayejiita Suguye yuko Kivule Matembele kumwona tu kueleza tatizo lako ni laki unusu, na baada ya hicho kiasi kwa ajili ya usajili, unapaswa pia kuorodheshwa kama "TV Partner" unaweka commitment ya kulipia gharama za uanzishwaji na uendeshaji wa tv yake, kila mwezi unatakiwa kulipia kiasi kisichopungua laki moja. Na ujue mtu kuacha uzinzi au ulevi sio lazima aende kwa "hawa watumishi wa siku za mwisho" Yesu wa kweli ndiye anayemgusa mtu na kumwondoa katika ukahaba, uzinzi; nakadhalika, na haijalishi uko kwa Gwajima au uko bar wakati huo. Yesu akikutaka anakufuata kokote uliko. Hii inaweza kuhitaji ufafanuzi mrefu kidogo, lakini ili uelewe kuwa huu ndio ukweli ndio maana huko huko kwa "watumishi wa siku za mwisho" waumini wanaziniana wao kwa wao, na "watumishi" nao wanazini na waumini! Simameni imara msiyumbishwe na lugha tamu tamu za "wahubiri wa siku za mwisho"!Ni kweli wajinga ndio waliwao! unakuta mtu na akili zake anaenda kwa waganga wa kienyeji wanakula pesa zake wakati kwa Yesu uponyaji ni bureeeeee!
Unakuta mtu mzima mvaa suruali wa asili lakini anapoteza pesa zake kwa makahaba na hiyo tamaa ya uzinzi haipungui ndo inazidi kuongezeka mwishowe anakufa kwa ukimwi au anatelekeza familia wakati kwa Yesu angesamehewa dhambi zake na kufunguliwa kwenye vifungo vya uzinzi!
Unakuta mtu mzima anamalizia pesa kwenye ulevi mpaka anashindwa kutimizia familia yake mahitaji muhimu kama ya chakula , shule na mavazi wakati kwa Yesu angeokolewa! Kwa kweli wajinga ndio waliwao!
Kwa ukweli huo niliousema..? UnachekeshaMkuu una akili ya Mgando aisee