Msukule azua taharuki mkutano wa Bishop Gwajima, Mbezi Luis

Msukule azua taharuki mkutano wa Bishop Gwajima, Mbezi Luis

malkiamrembo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
386
Reaction score
231
Ndugu zangu kuna kituko hapa kimetokea baada ya Mkutano wa bishop Gwajima Mbezi luis kuisha baadae aliendelea na semina ya ndani ambayo watu walihitaji sana sasa katikati kuna msukule tokea makaburini aliibuka na kueleza mambo mengi kweli yeye anatokea sehemu inaitwa shelui Singida ndugu zake walipata habari na kushangaa wanasema kafikaje Dar na yeye kule alishakufa wakamzika tayari sasa wanatakakuja kumchukua ndugu yao taharuki iliyopo ni kwamba wao wanadai walimzika huko Shelui Singida sasa amefikaje Dar?

Na lisukule lenyewe linasema lilikuwa kabulini halijawai kufa ila lilichukuliwa kichawi na mwanamke aliyemkataa.

Mungu amewakumbuka watu wake Dunia inaumbuka

1476691337426.jpg
 
Msukule Huwa Inaongea ??? .. Mimi Kuna Mtoto wa Jirani Alichukuliwa Msukule ila Baadae alirudi aliongea Neno Moja tu Hakuongea Tena.. mpaka Akafa

Sasa Huyo Vipi.. halafu Msafi sanaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom