malkiamrembo
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 386
- 231
Wakuu habari za jioni..Napenda kufahamisha kuwa naanzisha Uzi ambao utakuwa nawapa Updates za kila kinachotokea kwa Mkutano Wa Askofu Gwajima ambao unafanyika pale mbezi Luis mkabala na Stand ya magari.
Mkutano huo utaanza Tar. 25.09.2016 (kesho kutwa) mpaka Tar.02.10.2016 katika uwanja wa Mbezi luis pale kuanzia SAA Tisa Alasiri..ukihudhuliwa na Waimbaji mbali mbali kama;
Atosha kisava, John lisu, Masanja Mkandamizaji, Bahati Bukuku, Mercy Masika, Angle Bernard, Glorious celebratio, Mwanamapinduzi, Catheline Mkoma, Madam Flora na wengine...
Askofu Gwajima pamoja na maelfu ya watenda kazi watakuwepo kuwasaidia wote walioonewa na ibilisi.
Kama una ndugu ambae ni mgonjwa au Hospitali hawaoni ugonjwa, na wenye mapepo na mashetani usisite kumleta Mkutanoni Yesu Kristo atamsaidia na atakuwa sawa.
Mungu akubariki sana Mtu wa Mungu.
Amen.