Mkutano wa ACT - Wazalendo kuhusu Mgombea Urais, Prof Anna Mghwira kuwa mgombea

ACT sio chama cha kwanza kusimamisha mmama kugombea, mnamkumbuka Mama Senkolo?
Na sio wa mwisho kurudia upumbavu..what a joke...sasa wanataka jidai wataleta mabadiliko gani?These guys wanataka ogelea ktk mafuriko wakati ni watoto wa kuku....CCM imechokosa nyuki,na ile hofu kuu sasa imeingia mjini hakuna wa kuwasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…