Mkutano wa ACT - Wazalendo Kibaha, June 28, 2015

Mkutano wa ACT - Wazalendo Kibaha, June 28, 2015

Dkt Kilembwe

Senior Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
154
Reaction score
102
Katika mwendelezo wa ziara ya kukitambulisha chama, leo chama chetu cha ACT Wazalendo kitakuwa Mkoa wa Pwani jimbo la Kibaha Mjini. Mkutano utafanyika maili moja kuanzia saa nane mchana.

Mkutano utahutubiwa na kiongozi wa chama ndugu Zitto Zuberi Kabwe, akisindikizwa na wengineo akiwemo mwanamuziki Afande Sele, Mama Terry Habibu Mchange.

Karibuni
 
Naona Zitto kaamua kweli kweli kusambaza Uzalendo.
 
Last edited by a moderator:
Safi sana,ile saccos ya wachaga inayoongozwa na criminal itatabakia uchagani tu
 
Kinana yupo viwanja vya furahisha ITV,STAR, na AZAM kuonesha live kadi nyingi magwanda,t-shirs.bendera za ACT UDP CUF na CDM kutiwa kwenye viroba
 
Safi sana,ile saccos ya wachaga inayoongozwa na criminal itatabakia uchagani tu

ukitegemea kubebwa na udini , ukabila na ukanda chama chako kitabakia kwenye infant stage na kufia papo hapo,unatrudisha 1995
 
duuh..mzito i sasa balaa ni hakuna kulala.kila kona ya nchi ni ACT. ACT.ACT duu mmetisha
 
Yule aliyesema Chadema waliwavalisha Polisi Magwada ili wamuue Mwangosi bado yupe? nasikia anataka kugombea Kibaha kwa tiketi ya ACT
 
Ngoma zikitumbuiza kuashiria mkutano wa ACT-Wazalendo kibaha.
 

Attachments

  • 1435502265803.jpg
    1435502265803.jpg
    36.5 KB · Views: 662
Dr kilembwe umeacha kuripoti mkutano wa act umekimbilia kuangalia mkutano wa kinana kwenye tv, update ziko wapi?
 
Safi sanna ACT.

Chama cha wasaliti hicho. Wamepanda usaliti tayari mavuno ya usaliti wameshaanza kuyaonja, mavuno halisi ni octoba! Zito atakuwa kundi moja na akina MASUMBUKO lamwai, wako wapi Leo?
 
Kibaha leo hii
 

Attachments

  • 1435508840279.jpg
    1435508840279.jpg
    103.9 KB · Views: 485
Back
Top Bottom