Mkutano Wa ACT Mwanza kesho

Mkutano Wa ACT Mwanza kesho

Status
Not open for further replies.

kingunge wa jf

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
466
Reaction score
457
Wale wapenzi Wa ACT kesho Kuna kijimkutano chenu hapa Mwanza viwanja vya Mbugani mgeni mashuhuri anaetangazwa ni saliti Mwigamba karibuni
 
Hawa panya nao, waacheni tu wale hayo magunia (chama cha upinzani hakiwezi kuweka vita na upinzani).
 
tutakuwepo mkuu, ukombozi wa ukweli na kung`oa mkoloni mweusi unakaribia, vyama vya kilaghai vimeshagundulika, wanatumia umaskini wetu kujinufaisha kisiasa kwa kutudanganya ,

act chama makini
 
Mwenyekiti wa Wenyeviti anakuja?? au bado mwali kwa sasa?
 
Wajiandae kuzomewa! mwambieni huyo msaliti afike na huko kwao MAGU akapime upepo! ulishawahi ona wapi chama cha upinzani tena tz kika-share wapenz na wanachama na ccm??? ACT=CCM
 
Bwi bwi bwi...kimwigamba ndio kitahutubia?
 
inashangaza wapinzan leo wanaogopana wao kwa wao inaonyesha jinc hawa jamaa wa act ni wazur ndio maana wanaogopwa na cdm na kuanza vijembe
 
Hich chama kitakufa kama ilivyokuwa CCJ....viongozi mashuhuri wanaotarajiwa kujiunga nacho wakiona mambo ndivyo sivyo wataendelea kung'anga'nia CDM.
 
Yaani mtu mzima nitoke home nikakasikilize kamwigamba kanahutubia. Haiwwzekani
 
Zile kadi zipo nyingine kwa jamaa mmoja zipo mikoa mingi tu zitarudishwa pindi ACT ikifanya mikutano kuonesha wanachadema wamejiunga na ACT
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom