Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,544
- 4,750
EeehWanamuongezea mpaka 2040, reform ya Katiba ya CCM sawa ila reform ya Katiba ya NCHI subirini kwanza, kumamakozenu CCM
EeehWanamuongezea mpaka 2040, reform ya Katiba ya CCM sawa ila reform ya Katiba ya NCHI subirini kwanza, kumamakozenu CCM
Kama Reform ya Katiba Ya Ccm inawezekana tena iliyopangwa ndani ya Siku mbili tatu ikizingatiwa CCM ina Wanachama na wananchi wengi, hivyo haishindikani hata kidogo reform ktk sheria za uchaguzi, Katiba ya Nchi na Tume ya Uchaguzi.Bila Shaka CCM imetafakari vya kutosha na kesho muda wa uchaguzi mkuu unaweza kusogezwa ili kuondoa sintofahamu ambayo inaweza kutukuta endapo tutalazimisha kuendelea na hali ilivyo.
Miaka miwili ya mpito inatosha kurekebisha katiba ya CCM na katiba ya Taifa inayosubiri kwa zaidi ya miaka 10 bila sababu ya msingi, kuikwamua kutofuta nakosa yote ya Samia na kumuingiza kwenye Historia isiyo na majuto.
Lakini CCM tuking'ang'ania itatugharimu kama si sasa baadae
Upendo huu wa wewe kuihurumia ccm umetoka wapi?Bila Shaka CCM imetafakari vya kutosha na kesho muda wa uchaguzi mkuu unaweza kusogezwa ili kuondoa sintofahamu ambayo inaweza kutukuta endapo tutalazimisha kuendelea na hali ilivyo.
Miaka miwili ya mpito inatosha kurekebisha katiba ya CCM na katiba ya Taifa inayosubiri kwa zaidi ya miaka 10 bila sababu ya msingi, kuikwamua kutofuta nakosa yote ya Samia na kumuingiza kwenye Historia isiyo na majuto.
Lakini CCM tuking'ang'ania itatugharimu kama si sasa baadae
Goli linapanuliwa zaidiWanaenda kuongeza kifungu kwenye Katiba ambacho kilikua kinalalamikiwa hakipo
AiseeWanamuongezea mpaka 2040, reform ya Katiba ya CCM sawa ila reform ya Katiba ya NCHI subirini kwanza, kumamakozenu CCM
She’s a piece of sh*t! Kwenye mtaa wangu hawezi kupata hata nafasi ya mjumbe wa nyumba kumi.Samia anajaribu ku buy time tu ...narudia tena kusema samia hafai kuwa rais hata wa mamungo fc
"Astaghfirullah!Kifungu kipya kinasema hivi, (Mgombea Urais anayetokana na ccm hatolazimika kutafuta wadhamini mikoani, atadhaminiwa na Wajumbe wa sekretarieti ya chama)