Mkutano Mkuu wa AFDB Live on TBC!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,466
113,548
Wanabodi,
TBC inautangaza Mkutano Mkuu wa African Development Bank, AFDB, live kutokea Ukumbi wa AICC Arusha.

Hili ni jambo la kustahili pongezi kwa TBC kuutangaza live mkutano huu muhimu but
Kufuatia sehemu kubwa ya mkutano huo kuendeshwa kwa lugha ya Kifaransa, TBC walipaswa kuwa na wafasiri ila angalau akina sie tusikie nini kinachozungumzwa!.

Live ya Francophone language kwenye Anglophone country is equal to nothing!. Nil!.

Hongereni TBC!, aibu yenu, aibu yetu!.
Matraslator wa Kifaransa ni wa kumwaga tuu hapa bongo tena ni wabongo wenyewe!. What use kututangazia Kifaransa hata kama kisa ni eti wamelipia!.

Lets lern to be more professional kwenye live hizi za kimataifa!.

Asante.

Pasco.
 
Japo siambulii chochote, lakini naendelea tuu kuangalia kama zile filamu za Amita enzi tukiwa wadogo angalau by actions utafuatilia, huu mkutano nimebaki kukodolea tuu macho kamera inapozunguka for cut aways!.

By the way sasa matangazo yamekatika naamini ni kwa sababu za kiufundi!. Ila mimi bado tuu nakodolea black screen!.
 
France nchi hii nani anaelewa!??
Ni sawa na kumigia mbuzi gitaa!
Mkuu Kelvito, ingekuwa ni TV nyingine yoyote, wala nisinge sema!.

Pale AICC kuna ma translator wa lugha kuu 5 za bara la Africa, tukianzia na Kiingereza, Kifaransa, Kireno, Kijerumani, Kiitaliano, Kispanyola na Kiarabu!.

Kila mkutano mkubwa wowote wa kimataifa lazima wanaweka wafasiri wa hizi lugha mbili za Kiingereza na Kifaransa!.

Yaani ni uzembe tuu wa Producer wa hiyo Live ni kazi ya sekunde moja tuu kuchomeka jack pin yao kwenye translation ya Kiingereza angalau tungesikia!.

Kwa nchi za wenzetu wanaothamini ligha zao, kila mkutano wa kimataifa utakaoendeshwa nchini kwao kwa lugha isiyo ya taifa lao, lazima wanakuwa na mfasiri kwa lugha yao!.

Sisi Tanzania sio hivyo!. Tunadharau cha kwetu na kuthamini cha wenzetu!. Kusema ukweli, wakoloni wametufanya vibaya!.

Naendelea kukodolea black screen!.
 
Wanabodi,
TBC inautangaza Mkutano Mkuu wa African Development Bank, AFDB, live kutokea Ukumbi wa AICC Arusha.

Hili ni jambo la kustahili pongezi kwa TBC kuutangaza live mkutano huu muhimu but
Kufuatia sehemu kubwa ya mkutano huo kuendeshwa kwa lugha ya Kifaransa, TBC walipaswa kuwa na wafasiri ila angalau akina sie tusikie nini kinachozungumzwa!.

Live ya Francophone language kwenye Anglophone country is equal to nothing!. Nil!.

Hongereni TBC!, aibu yenu, aibu yetu!.
Matraslator wa Kifaransa ni wa kumwaga tuu hapa bongo tena ni wabongo wenyewe!. What use kututangazia Kifaransa hata kama kisa ni eti wamelipia!.

Lets lern to be more professional kwenye live hizi za kimataifa!.

Asante.

Pasco.
arrrrg wewe nawe...unapenda pongezi sana........
 
african devnt bank mnaendesha mkutano kwa kifaransa??? poor you manyani........watumwa wa kila kitu.......
 
arrrrg wewe nawe...unapenda pongezi sana........
Appreciation ni kitu muhimu kwenye kila jambo live zuri au liwe baya na ndio maana enzi za thanks. huwa namwaga thanks kwa wachangiaji wote!.

Watu wasio na shukrani ni wengi tuu na kisingizio chao cha kutotoa asante au pongezi, hawezi kushukuru au kupongeza kwa kutimiza wajibu wake!.

Mimi huwa nashukuru hata kwa huduma ambazo they are my rightful services!.
Na wewe thanks.
Pasco
 
Kuna kitu hawataki muelewe. Kwanza Benk ya maendeleo Afrika. Maendeleo gani hayo. Hii Benki imekuwepo Afrika kwa miaka kadhaa, imefanya nini kwa mwafrika. Na vyombo vya habari hawalizungumzii hili wamekaa kimya? Ni dharau na dalili ya wizi.
 
Back
Top Bottom