Mkutano mkuu CCM 12 march 2017 -Dodoma.

Status
Not open for further replies.

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,225
Live: kutoka mkutano mkuu wa CCM leo 12 March 2017 Dodoma.

Karibu wadau tupeane updates hapa kwa kile kitachojili huko Dodoma kuanzia mida ya saa nne asubuhi.au
-------------------------------------------------------
-------------------------------------------------------

Saa10:25 asubuhi: mwenyekit wa CCM -Magufuli kaingia ukumbini tayari kwa kuanza kikao.
Meza kuu umekamilika na ukumbi umejaaa mpaka pomoni.

Saa 10:30 asubuhi: Burudani toka vikundi mbali mbali kwa wajumbe wa mkutano mkuu.

Saa 10:40 asubuhi :Utambulisho wa wajumbe na wageni mbali.mbali waliohudhuria mkutano. Mr. Pole pole anaendelea kuwataja na kutambua uwepo wao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom