Mkutano mkubwa wa CHADEMA Dodoma

Wana jf na wana Chadema wote waishio dodoma ni kwamba siku ya jumatano tar 11/4/02 kutakuwa na mkutano mkubwa wa chama tajwa utakaofanyikia katika viwanja vya BARAFU-dodoma kuanzia saa saba mchana.atakuwepo na kuhutubia mh.F.Mbowe akiambatana na wabunge wengine mashuhuri wa chdm;mdee,msigwa,wenje,mnyika,sugu,kabwe,Lisu,silinde nk.pia tutampokea na kumkaribisha dogo janja a.k.a mh sana J.Nassari!karibuni nyote!NAPE&MWIGULU KARIBUNI pia mkamshangilie dogo janja aliyewazid maujanja Arumeru!

Source:
mimi mwnyw nipo dodoma kwa sasa kwa shughuli hy
Dodoma ni ngome ya ccm, cdm poleni sana
 
Pamoja na kuunguruma kesho viwanja vya barafu Dodoma Nasari na mbunge mwenzake wa viti maalum wamenikera kwa kutokwenda bungeni kuapishwa. Ina maana tayari wameyashiba madaraka? Hawaoni kama wananchi wao watawaona kama malimbukeni ambao hawana muda wa kuwawakilisha bungeni? Nini kimewaleta Dodoma? Ndio maana baadhi wa wanazuoni wanakiona CDM kama chama cha msimu na kifo chake chaweza kuwa cha aibu kama cha kanumba. Baada ya peoples' power nyingi watu watakichoka kitaonekana ni chama kisichokuwa na jipya bali fujo.
Wote hawakupewa barua Ya wito wa kuapishwa
 
Wana JF na wana Chadema wote waishio Dodoma ni kwamba siku ya Jumatano tar 11/4/02 kutakuwa na mkutano mkubwa wa chama tajwa utakaofanyikia katika viwanja vya BARAFU - Dodoma kuanzia saa saba mchana.

Atakuwepo na kuhutubia mh. F. Mbowe akiambatana na wabunge wengine mashuhuri wa CHADEMA; Mdee, Msigwa, Wenje, Mnyika, Sugu, Kabwe, Lisu, Silinde nk. Pia tutampokea na kumkaribisha dogo janja a.k.a mh sana J. Nassari!

Karibuni nyote! NAPE & MWIGULU KARIBUNI pia mkamshangilie dogo janja aliyewazidi maujanja Arumeru!

Source:
Mimi mwenyewe nipo Dodoma kwa sasa kwa shughuli hiyo!

Things zinaanza kuwa mzuri,watu wanamiminika kutoka sehemu mbalimbali za mji huu wa Dodoma,nyimbo za kufungua zinaendelea kupigwa hapa.
 
Diwani anamwaga makali,
Anawaambia wanaDODOMA WASIOGOPE.
Anawapasulia kwa kuwaambia kama ni mabomu arusha yamekuwa manukato,kama ni polisi wao kumekuwa ni mapumzikoni,kwaiyo wasiogope
 
we MBONA UNAJIFANYA MCHAMBUZI HAYA WAMEKUKERA NIN SASA MBONA UJUI SHERIA WEWE WAMEKWAMBIA HAWATA APISHWA MILELE ACHA KIHELE HELE CDM INAENDA KWA TIMING
 
Kondoa pigeni kambi kabisa kwani uislamu umetawala pale na u-CUF.
Unapokoment uwe unafikiri japo kidogo,japo hata elimu ya darasa la pili itakusaidia.....

Hapa limeongelewa suala la siasa so uislam umekujaje au lini umesikia CDM ikitumia jina la udini kujitanua kisiasa..
Ninyi ndo hamtakiwi mana mnapandikiza mbegu mbaya za udini kutokana na akili zenu finyu.
 
Lema yupo hapo? Then update,mbona ha2zipati ama na c arusha 2anze kuwanyima update 'kwenye masuala ya msingi?
 
Lema hayupo, Mnyika kaongelea kuhusu katiba mpya, Mlacha wa Udom naye kaumbuliwa leo chadema inataka ripoti ya CAG KUHUSUmatumizi na mapato ya udom la sivyo wataiweka wazi maana wanayo tayari.... Saivi tunapewa habari juu ya wabunge wa chadema jinsi walivyopigwa mapanga na waliomba msaada toka kwa polisi na walinyimwa.
 
Baada ya bunge mheshimiwa mbowe amesema kambi inahamia mwanza kwenda kuandamana hadi waliohusika na kuwapiga mapanga wabunge wa chadema wapelekwe mbele ya sheria....
 
Huyu mbunge anaitwa matebuli au nani jamani naomba mnisahihishe... Huyu aliyepigwa mapanga...ndio anatoa ushuhuda hapa jinsi walivyodundwa.
 
Vipi Lusinde mnamkaribisha?

Lusinde ni kichaa anatakiwa apelekwe Mirembe Hospital-hospitali ya kutibu Vichaa. Kamwe CHADEMA hatukaribishi vichaa kwenye mikutano yetu. Kaeni naye hukohuko na Magamba yenu. Pambaf zenu!

 
Huyu mbunge anaitwa matebuli au nani jamani naomba mnisahihishe... Huyu aliyepigwa mapanga...ndio anatoa ushuhuda hapa jinsi walivyodundwa.

Samahani mdau huyo anaitwa Machemuli siyo Matemuli. Huyo ni Mhe. Mbunge kwa tiketi ya CDM toka UK(Ukerewe).
 
Back
Top Bottom