Ukombozi sio overnight process, it is the gradual one. VIVA CDM
Nani kakwambia hatufanyagi mikutano vijijini? Mbona bahi tuna matawi mengi sana, hii ni ratiba tofauti ya kumtambulisha mbunge mteule dodoma, ratiba nyingine za kujenga chama zitaendelea.
Vipi Lusinde mnamkaribisha?
Ni kweli kwa cdm kuchukua jimbo dodoma itakuwa ngumu kwa sababu ya kisera zaidi na sio mtu. Sera ya cdm ni kufuta mpango wa kuhamia dodoma sina hakika kama wamebadilisha. Mara nyingi maeneo ambayo yanaondolewa huduma fulani hata km ni kwa maslahi ya taifa basi wanapinga. Kwa dodoma wanategema kuwepo kwa mji mkuu kutasukuma maendeleo, sio km Dar ambayo tayari ipo mbele hata ukihamisha watu hawata pata madhara makubwa
Hapo barafu ni padogo sana, shule ya jamhuri imechukua sehemu kubwa na kale kamgahawa pale katikati.
Kwanini msiombe uwanja wa Jamhuri?
Waende wakafanye mkutano Jimbo la lusinde.
nadahani cdm sio chama cha mjini tu, cdm dodoma hebu amkeni nendeni vijiji ambako cdm haifahamiki. Kila siku uwanja wa baraufu kwani hapo ndo mwisho dodoma, nendeni kibakwe, bahi, banyibanyi, chilonwa, itiso, mayamaya, mpwayungu, mlodaa, kongwa, kondoa na vijiji ambavyo sijavitaja.