Tumetia timu Dodoma tayari kwa maandalizi ya mkutano wa kesho. Nitawapa updates za kila kitakachojiri viwanja vya barafu! Karibuni wanafunzi wa Udom, Mipango, st John's, cbe, chuo cha serikali za mitaa Hombolo bila kuwasahau walimu toka Capital, Dar ul muslimeen, salesian seminary wakiwemo mafundi wanafunzi wa don bosco tech pamoja na wakazi wote wa Dom. Karibuni wakazi wa Uzunguni, uhindini, area c, area A, area d, Nkuhungu, chang'ombe, kizota, Bahi road, maili2, Mbwanga, Miyuji, Msalato, veyula, Iringa road, Kikuyu, makulu, Ilazo, Kisasa, Ipagala, Nzuguni, ihumwa na Chamwino.