Mkutano mkubwa wa CHADEMA Dodoma

Nakubaliana na wewe, lakini CDM tumezidi kufanya mikutano mjini, Vijijini tumekusahau ambako magamba ndo huwa wanaenda kutuibia kura

Hapo dodoma mjini tu hakuna hata diwani wa CHADEMA we unawaambia waende vijijini kufanya nini?
 
Hapo dodoma mjini tu hakuna hata diwani wa CHADEMA we unawaambia waende vijijini kufanya nini?

Uwezo kiuchumi wa akina sigwimisi ni mdogo sana ndo maana magamba wakileta khanga na kapelo hawaziachii lakini taratibu wataelewa
 
Tuko pamoja mkubwa, lakini chama kiangalia utaratibu wa kufanya mikutano mikubwa vijijini kwa ajili ya kujitangaza zaidi maana chama hiki kimejitangaza vema bado wananchi wa vijijini wanapotezwa sana na sisiemu kwani wanaambiwa vyama vingine ni vya wahuni.
 
Naomba CDM muende vijijini kama vile Lamaiti,Mundemu,mkondai,Zanka,Msisi,Hombolo,Babayu,chandege,Mayamaya. huko ndiko ccm wanajidai kwani hamjafika wa2 wanawasikia kwenye radio tu,wanatishwa na ccm kuwa wakichagua upinzani wataleta vita,chagueni timu ya kwenda huko.
 
Tuko pamoja mkubwa, lakini chama kiangalia utaratibu wa kufanya mikutano mikubwa vijijini kwa ajili ya kujitangaza zaidi maana chama hiki kimejitangaza vema bado wananchi wa vijijini wanapotezwa sana na sisiemu kwani wanaambiwa vyama vingine ni vya wahuni.[Lazima ujue kuwa mapambano ni hatua hivyo sidhani kama cdm hawalioni swala la vijijini. Tuwe wavumilifu ukombozi wa fikra utafika tu hata huko vijijini pia. Ukombozi daima, pamoja tutafika
 
Wana jf na wana Chadema wote waishio dodoma ni kwamba siku ya jumatano tar 11/4/02 kutakuwa na mkutano mkubwa wa chama tajwa utakaofanyikia katika viwanja vya BARAFU-dodoma kuanzia saa saba mchana.atakuwepo na kuhutubia mh.F.Mbowe akiambatana na wabunge wengine mashuhuri wa chdm;mdee,msigwa,wenje,mnyika,sugu,kabwe,Lisu,silinde nk.pia tutampokea na kumkaribisha dogo janja a.k.a mh sana J.Nassari!karibuni nyote!NAPE&MWIGULU KARIBUNI pia mkamshangilie dogo janja aliyewazid maujanja Arumeru!

Source:
mimi mwnyw nipo dodoma kwa sasa kwa shughuli hy

Naomba uondoe hilo neno jekundu hapo, maana wabunge wote wa CDM ni mashuhuri. Tusianze kubaguana kama wengine.
Hata neno mheshimiwa pia muwaachie hao waheshimiwa.
zamani sisi sote tulikuwa tunaitana ndugu: ndugu mbunge, ndugu rais, ndugu waziri, ndugu kijana, ndugu, ndugu, ndugu.
Ubwana na utwana umetoka wapi?
 
Mwenyekiti wa CDM na katibu mkuu kwa kushirikiana na wabunge wa CDM akiwamo Joshua Nasari kesho watafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya barafu mkoani Dodoma.
 
:A S-fire1:Hiyo sawa kabisa ila tunaendelea kuwaombea Makamanda wetu kwani 2015 ni mwaka wa ukombozi toka mikononi kwa Mafisadi, na pia wendeleze somo vijijini kwani bado hawana elimu ya uraia.
 
Back
Top Bottom