Mkutano mkubwa wa CHADEMA Dodoma

Mkutano mkubwa wa CHADEMA Dodoma

Dik

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
1,205
Reaction score
416
Wana JF na wana Chadema wote waishio Dodoma ni kwamba siku ya Jumatano tar 11/4/02 kutakuwa na mkutano mkubwa wa chama tajwa utakaofanyikia katika viwanja vya BARAFU - Dodoma kuanzia saa saba mchana.

Atakuwepo na kuhutubia mh. F. Mbowe akiambatana na wabunge wengine mashuhuri wa CHADEMA; Mdee, Msigwa, Wenje, Mnyika, Sugu, Kabwe, Lisu, Silinde nk. Pia tutampokea na kumkaribisha dogo janja a.k.a mh sana J. Nassari!

Karibuni nyote! NAPE & MWIGULU KARIBUNI pia mkamshangilie dogo janja aliyewazidi maujanja Arumeru!

Source:
Mimi mwenyewe nipo Dodoma kwa sasa kwa shughuli hiyo!
 
Hapo barafu ni padogo sana, shule ya jamhuri imechukua sehemu kubwa na kale kamgahawa pale katikati.

Kwanini msiombe uwanja wa Jamhuri?
 
Nadahani CDM sio chama cha mjini tu, CDM Dodoma hebu amkeni nendeni vijiji ambako CDM haifahamiki. Kila siku uwanja wa baraufu kwani hapo ndo mwisho dodoma, nendeni kibakwe, bahi, banyibanyi, chilonwa, itiso, mayamaya, mpwayungu, mlodaa, kongwa, kondoa na vijiji ambavyo sijavitaja.
 
Kondoa pigeni kambi kabisa kwani uislamu umetawala pale na u-CUF.
 
saafiii sanaaa...mapambano yanaendelea...
 
saafiii sanaaa...mapambano yanaendelea...

Mkuu mapambano hayafanyikii mjini, mapambano yanafanyikia vijijini, mjini ni kuteka tu. Ndo maana ccm wanatupiga bao kwenye chaguzi.
 
Tupo pamoja kiongozi.na tangazo tumelisikia likitupa hapari kuna gari imepita mtaani kwetu
 
Wana jf na wana Chadema wote waishio dodoma ni kwamba siku ya jumatano tar 11/4/02 kutakuwa na mkutano mkubwa wa chama tajwa utakaofanyikia katika viwanja vya BARAFU-dodoma kuanzia saa saba mchana.atakuwepo na kuhutubia mh.F.Mbowe akiambatana na wabunge wengine mashuhuri wa chdm;mdee,msigwa,wenje,mnyika,sugu,kabwe,Lisu,silinde nk.pia tutampokea na kumkaribisha dogo janja a.k.a mh sana J.Nassari!karibuni nyote!NAPE&MWIGULU KARIBUNI pia mkamshangilie dogo janja aliyewazid maujanja Arumeru!

Source: mimi mwnyw nipo dodoma kwa sasa kwa shughuli hy



Hakuna kitu napenda kutoka katikati ya nchi yetu Dodoma kuzidi zeze, zumari, manyanga na sauti nzuri za kina dada wa mkoa ule. Zabibu ni tamu, lakini haziwezi kuzidi zile sauti za kina dada wa Kigogo.

Mumeandaa ngoma asilia pale nije? Au ndo mtakuwa na mistari ya yule ndugu yetu tu; Sherehesheni mkutano jamani...kwa sauti nzuri kutoka hapo katikati ya nchi yetu. All the best!
 
2015 lazima kieleweke coz wanachadema 2napambana kwa kac ile mbaya so lazm vjn waikamate nch na c kuongozwa na wazee au vp wadau?hebu 2jarib kuhamasisha kwan hata wazee watasomeka na kutusuport!!!
 
Mpango huu hauwezi kufanikiwa kwa kufanya mikutano mijini na kuacha kwenda vijijini. Kila siku uwanja wa barafu. tutaambulia patupu 2015

Nani kakwambia hatufanyagi mikutano vijijini? Mbona bahi tuna matawi mengi sana, hii ni ratiba tofauti ya kumtambulisha mbunge mteule dodoma, ratiba nyingine za kujenga chama zitaendelea.
 
Nikiwa kwenye Tamasha la Pasaka,nlsikia Gari ikitangaza jumatano kutakuwa Mkutano wa chafma ndan ya dom.
Mwenye Newz kamili amwage
 
peoples' power, nikipenda chadema, napenda sera zake endelevu, sera za chama hiki zinategelezeka. hakika kama kitapata kushika dola basi maisha ya watanzania yatakuwa tofauti kabisa. shamba tulilolima tangu miaka 50 iliyopita kweli kwa sasa lutuba imeisha. mkulima wa kawaida tu akiona shamba analima iha halimpi mazao huachana nalo, je sisi wakulima wakubwa si itakuwa jambo rahisi kuachana nalo?
 
Kweli tumechoka kuambiwa kila siku wanafanya mikutano mijini ilihali vijijimi ndo kunahitaji ukombozi wa kifikira zaidi
 
Back
Top Bottom