Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
- Thread starter
- #61
Wakati makamanda Leo wanapanga mikakati yakuchukua halimashauri,wao wanacheza ngoma tu pale sheikh amri abeid stadium. Magamba bhana! Kwa Arusha jimbo ambalo ninaweza kubaki CCM ni munduli tu. Mengine yote yanakwenda CHADEMA mchana kweupee! Tuombe October tuwe hai tu.
Hata Munduli wamasai wamesema no kwa ufisadi