Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
- Thread starter
- #21
Lowasa ni mpango wa mungu
Fisadi ana Mungu?
Lowasa ni mpango wa mungu
Safi..
Wameaibika na nini? Sasa sana mechoreka malori wamechukia sana maana hamjawalipa hela zaoRip chadema,chama cha kikanda na kikabila,leo wameabika sana pale Arusha,bavicha na saccos yenu mwaka huu mwisho kutafuna ruzuku
Ufisadi gani kafanya
tunakazi sana makamanda kwenye kupambana na mafisadi
kweli ni mpango wa mungu na sio MunguLowasa ni mpango wa mungu
kweli ni mpango wa mungu na sio Mungu
Sanaaa ccm watajificha kipindi hiki
Kamanda uwa unapata kweli muda hata wa kupumzika au kuongea na familia yako.Watanzania wameshahamua kutoa hukumu October
Kamanda uwa unapata kweli muda hata wa kupumzika au kuongea na familia yako.
SAFI sana acha fisadi akodishe watu Arusha halisi inafanya yake
Mkutano Maalumu wa Chadema Arusha Mjini Unaendelea. Lengo ni Mikakati ya Ushindi Uchaguzi Mkuu
Washiriki ni Wenyeviti na Makatibu wote wa Kata 25 za Jijini Arusha
Hizo habari wapeleke Mafisadi wenzako umevurugwa?Sijui umekula maharage ya wapi wewe!! Habari ya mjini leo ni kutangaza nia wewe unatuletea mikakati hewa.
Hizo habari wapeleke Mafisadi wenzako umevurugwa?