delete ccm
Member
- Nov 10, 2014
- 87
- 15
Lowasa ni mpango wa mungu
labda mpango wa shetani make naye anamipango
Lowasa ni mpango wa mungu
Lowasa ni mpango wa mungu
Tena natamani sana kuwa fisadi lakini sijapata nafasi. nikiwa mtumishi nitajiunga nao mafisadi wowowte watakaokua madarakani.iwe nagamba au magwanda
Upepo umepita" makamanda tunaendeleza mapambano kama kawaida. Sasa tunawasindikiza hawa wageni waliokuja kutembea A town.
Mkutano Maalumu wa Chadema Arusha Mjini Unaendelea. Lengo ni Mikakati ya Ushindi Uchaguzi Mkuu
Washiriki ni Wenyeviti na Makatibu wote wa Kata 25 za Jijini Arusha
Na katika mkutano huo, wawashughulikie wasaliti wote waliokwenda kwenye mkutano wa ccm wa mtangaza nia pale uwanja wa Sheikh Abeid Aman Karume,wahakikishe wanawafukuza Ndesamburo na wenzake upesi kama Zitto vile vile.
...
....Chadema Arusha ni Makini sana !!!
Ccm wataaibika tu kwa Arusha
Usimlaumu,Magamba yote ni sawa na mazombi. Akili zao zimekufa. Hawawezi kutofautisha kati ya viwanya vya bunge na sheikh amri abeid stadium. Wao wapo wapo tu kama ngombe vile unaweza kuwaongoza kwa firimbi tu.Propaganda za kijinga Chadema hatufanyagi wewe kwa akili yako ile picture niya uwanja wa Arusha?
Leo ndio ccm Arusha wamejiakikishia kwa wana Arusha na viunga vyake kua ni futuhiLeo nimecheka sana nilipuona mwenyekiti wa CCM arusha kwa namna alivyokuwa na mihemko. Then nikakumbuka ile kauli inayosema CCM wanatabia ya kujitekenya na kujichekesha wenyewe. Wamechukuwa watu kwa malori kutoka mikoa mbali mbali na wengine wamelala uwanjani cos wamekosa sehemu ya kulala then wanasema wameiteka Arusha CCM bhana! Wanafurahisha kweli.
Wanachojua ni kuifisadi nchiUsimlaumu,Magamba yote ni sawa na mazombi. Akili zao zimekufa. Hawawezi kutofautisha kati ya viwanya vya bunge na sheikh amri abeid stadium. Wao wapo wapo tu kama ngombe vile unaweza kuwaongoza kwa firimbi tu.
Umenena
Tupo Pamoja Kamanda na sisi tumejipanga vema sana kuwaleteni Habari za Chama Chetu pendwa Tanzania....Kamanda namalizia kazi ya kuwapanga Makamanda kanda ya ziwa Mungu ni mwema tutawasiliana tu japo nasafiri kama Mbayuwayu !!!
Pamoja sana leo mnara wa babeli nguzo ya katikati imeporomoka......
Chadema kina Baraka zote kutoka kwa Mungu
Hahaaaaaaa..
Kumbe mpo na Ninyi...nimependa tuu cz mnalenga kuwekeza nhuvu kwenye ubunge na udiwani.
Good idea..Ikulu for EL
Ndio leo fisadi mkuu kawadanganyeni hivyo?Hahaaaaaaa..
Kumbe mpo na Ninyi...nimependa tuu cz mnalenga kuwekeza nhuvu kwenye ubunge na udiwani.
Good idea..Ikulu for EL
Wanachojua ni kuifisadi nchi