Kila kuchao utasikia 'kutakuwa na Mkutano Mkubwa Wa ACT... mahala fulani'
ACT imepata aibu, Kigoma ikiwa ndio ngome yake kuu, inasikitisha kuona mahudhurio kidogo kiasi hiki.
Inaonekana wananchi wameshashitukia dili; ACT ni ajenti wa CCM. Hata kwenye huu Mkutano Wa kigoma jana 23.07.2014, Na mikutano iliyotangulia kazi kubwa ni kushambulia CHADEMA. Huu ni mkakati wa ajabu kwani CHADEMA si Chama tawala. Matatizo ya nchi hii kwa wananchi hayatokani na CHADEMA. Yanatokana Na uongozi mbovu wa Chama tawala.-
Chama chochote cha siasa lengo lake ni kutwaa dola. Lakini inaonekana dhahili kwamba ACT lengo lake ni kupambana na vyama vya upinzani hasa hasa kupambana na CHADEMA!-
Kwa maana hiyo ACT imejiweka wazi lengo lake na kirefu chake sahihi ni Alliance for Conspiracy and Traitors Au Alliance of Cowards and Traitors kwani tumeeendelea kushuhudia wasaliti, waoga na wala njama wakiendelea kurubuniwa kujiunga na chama hiki ili kuendelea kurubuni viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani.
Shame on you ACT Na umamluki wenu