Mkurugenzi wa wilaya ya Arusha - aweweseka

Wataangahika sana mwaka huu hadi vichaa watawauliza
kuna kituko kilitokea siku moja kipindi cha kampeni, kuna kichaa alifika kwenye jengo la CCM mkoa Arusha karibu kabisa na mlango wakuingilia alimkuta mama anauza ma-shirt, kofia, t-shirt na nk zenye rangi ya kijani na manjano alichokifanya kichaa alisukuma meza ya mama huyo ambayo ndipo alipokuwa ameweka bidhaa hizo na kuanza kumuonyehsa vidole viwili(V), watu walijaa sana kumshangaa kicha huyo kwa kitendo kile. huku wengine wakionyesha kuto amini kama ni kichaa kweli
 
kuna wakati huwa najiuliza hivi watu waliowapigia kura CCM hapa Arusha wako wapi mbona kila kona CDM tu yaani mitaani, kwenye vibasi,ma-ofisini na chaajabu mpaka wahidi wanasema hawakumpigia Mkwere au ni wanafiki!?
 
kuna wakati huwa najiuliza hivi watu waliowapigia kura CCM hapa Arusha wako wapi mbona kila kona CDM tu yaani mitaani, kwenye vibasi,ma-ofisini na chaajabu mpaka wahidi wanasema hawakumpigia Mkwere au ni wanafiki!?

Wahindi waongo na wanafki wakubwa, hawawezi hata siku moja kuipigia chadema au upinzani kwa sababu wahindi ni wezi na wanajua ukiwa mwizi ccm ndo mahali pazuri pa kufanyia ufedhuli. Wanasema hivyo kwa sababu wamesoma hali ya mchezo kwa hiyo wanaona ni bora waseme hivyo kuonesha kuwa wapo pamoja na wanachadema.
 
Wananchi wa Arusha tunataka haki sio
porojo za kina lyimo na makamba
ccm isicheze na wananchi wakati
damu za ndugu zetu zimemwagika
tunawahesabia siku za kuweko ofisini.
 
Ndipo kikao kikanza: karibu kila aliyechangia alitoa mapendekezo kuwa uchanguzi ufanyike upya na wafuatao waondolewe Arusha
Mkurugezi,
RPC
OCD.
Ndipo arusha itakalika kwa amani.

Naomba kuwakilisha

Wakumbushe kumjumuisha na Mary Chitanda arudi kule alikotoka ...TANGA....................na Arusha itakuwa raha mustarehe....................
 
baada ya mkutano huo walimuomba awasomee alichokuwa akikiandika mwenyekiti huyo asije akawa ameandika vituambavyo wao hawavisema....yaani walimubana mpaka akawa anasema wananchi tumewakosea nini
Ahhhahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah! :lol:
 
Back
Top Bottom