Mkurugenzi wa wilaya ya Arusha - aweweseka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurugenzi wa wilaya ya Arusha - aweweseka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Jan 24, 2011.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkurugezi wa wilaya ya Arusha mjini ameingia mchecheto wa kilicho jitokeza Arusha tarehe 5-1-2011, baada ya kuamuru wenyekiti wote wa vitongoji kufanya mikutano na wakazi wa vitongoji vyao ili kujua mapendekezo yao.

  Na mambo muhimu yaliyokuwa yakitakiwa kutolewa majibu, ni nini kifanyike ili kuleta utulivu Arusha mjini.

  Katika kikao kilicho fanyika kwenye kata ya Sombetini kitongoji cha simanjiro, kulitokea kutokuelewana baada ya wakazi waliojitokeza kwenye mkutano huo ulioitishwa juzi jioni na kufanyika jana, kutaka kujua:

  - uhalali wa mwenyekiti kutumwa na mtu wanayemtuhumu kuwa yeye ndiyo chanzo cha maafa ya Arusha, kuja kuwa hoji nakumpelekea watakao zungumza yeye mwenyewe tena na kwanini hakukuwa na mwakilishi wa vyama husika.
  - pia walitaka kujua kwanza kwanini mkutano huo ulifanyika vichochoroni tofauti na ilivyo zoeleka
  - watakuwa na uhakika gani walicho kiongea ndisho kitakacho pelekwa sehemu husika.

  Mwenye kiti huyo aliwatuliza na kuwa ahidi watakayo yasema ndiyo yatapelekwa na yataenda kugongwa mhuri na nakala kurudishwa kwa mabalozi.
  Ndipo kikao kikanza: karibu kila aliyechangia alitoa mapendekezo kuwa uchanguzi ufanyike upya na wafuatao waondolewe Arusha
  Mkurugezi,
  RPC
  OCD.
  Ndipo arusha itakalika kwa amani.

  Naomba kuwakilisha
   
 2. e

  elimukwanza Senior Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  source please
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nadhani CCM hwawatambui vizuri wakazi wa mji wa Arusha ni watu wa aina gani hasa.
   
 4. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama haya ni ya kweli ni afadhali watawala waone kwamba hata wananchi nao hawako nao.
   
 5. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Na mie ningekua mshiriki wa mkutano huo basi ningependekeza hivyo hivyo! Nawaunga mkono kwa mapendekezo yao! ila hayo mapendekezo yalishatolewa na uongozi wa chadema wakati wa ibada za kuwaombea marehemu pale Arusha mjini. Hakuna yaliyofanyika, sijui kama hayo yataleta matunda! Kama viongozi wa serikali kitaifa wanaunga mkono yale mauaji, hakuna jipya kwenye maoni ya wanalala hoi.
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mtu alihuzulia mkutano huu na nimeongea na baadhi ya wenyekiti wa vitogoji vya manispaa ya arusha amezibitisha kuwa na agizo hilo kutoka kwa mkurugenzi pia niliongea na msemaji wa kambi ya upinzania wa Arusha ambae nae ni mwenyekiti wa kitongoji anae alisibitisha kupokea angizo hilo...
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kuna tofauti ya tamko la viongozi wa CDM na msimamo wa wana-Arusha...kama waliyapuuza basi wananchi kama watasisitiza hawatakuwa na budi kuya fanyikakazi...
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ni ya kweli mkuu
   
 9. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Of course yeye mkurugenzi ni miongoni mwa watuhumiwa wa mauaji yale. Alishiriki kuibeba CCM akiwa kama msimamizi wa uchaguzi wa Meya, hiyo dhambi itamfuata mpaka kaburini, tena namwonea huruma kwani CCM huenda wakamtosa baada ya mambo yao kuwa mazuri. Mimi nashangazwa na watumishi wa Umma wanaokubali kutumiwa kwa maslahi ya CCM, ni uoga na kutojiamini tu. CCM ikianguka yeye atakuwa wapi. Wito kwa watumishi wengine wa Umma - amkeni CCM inaelekea mwisho hebu tendeni haki. Tanganyika inaelekea ktk ukombozi
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wataangahika sana mwaka huu hadi vichaa watawauliza
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ndio hivyo kwani CCM wakimaliza kukutumia wanafanya nini
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ilikuonyesha hawataki utani: baada ya mkutano huo walimuomba awasomee alichokuwa akikiandika mwenyekiti huyo asije akawa ameandika vituambavyo wao hawavisema....yaani walimubana mpaka akawa anasema wananchi tumewakosea nini kwani hata mahudhulio yakuwa hafifu yaani haijawahi kutokea, kwenye mkutano kama huo kukomea watu ambao hawakuzidi 70
   
 13. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Inasikitisha sana pale jitu zima linapokomalia kuongoza watu ambao hata hawana haja na wewe.watawala wetu wameshindwa kusoma alama za nyakati na hiyo ndo shida kubwa.
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wanalitambua ila wanajifanya hawasikii wamuulize Lowassa
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Shauri zake yatayomkuta huko mbeleni asije kusema hakuambiwa
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha hii kali Arusha nafikiri CCm watajuta sana maana ni moto kwao
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  you can fool people sometime but you cannot fool them all the time
   
 18. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Kwa jinsi ninavyowafahamu machalii wangu wa A-Town aisee ni bora watekeleze hayo. Maana hawa jamaa huwa utani kwenye issue za msingi kwao ni mwiko.

  Resoultions nzuri sana kwa ustawi wa Arusha, the Geneva of Africa
   
 19. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Source ni yeye mwenyewe. Sio kila kitu mpaka usikie source sijui majira au mwananchi au gazeti fulani kwani hata hao wanaoripoti kwenye hayo magazeti hizo taarifa wanazitoa kwa watu na wakati mwingine huwa si kweli kulinganisha na taarifa kama hizi tunazozipata moja kwa moja.
   
 20. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwani hajui nini kinatakiwa kifanyike ili kuleta utulivu? Ajiulize kwanza nini kilivuruga huo utulivu kutoka hapo atapata jibu.
  Sasa katika hao wanaotakiwa kuondolewa mmoja wao ndo huyo ambaye hayo majumuisho yanaenda kwake kwa ajili ya tathmini. JAJI AMEUA NA ANAYETAKIWA KUHUKUMU NI YEYE MWENYEWE. Inachekesha!
   
Loading...