wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,939
Maelezo mengi pumba tupu,jiulize huko ilipo refinery wanachimba mchanga?!..why refinery isiwe hapa.
mkuu hiyo biashara ndogo sana hata akina Reginard Mengi wanaiweza wao watangaze tenda waone kama hawatajengewa fasta tena wa kisasa wakaachana na huo wa wachina. Tumejenga bomba la gesi kwa us$8billioni tushindwe chekecheo la mil 500.Suluhu ni kwa serikali yenyewe kuwekeza kwenye ujenzi na uendeshaji wa hizo smelters..
Mengine yote tumeyataka wenyewe.. Tusiwalaumu wawekezaji!
Nasubiri muda wa kujua..kwa sasa nabaki hapa hapa..usilete mambo ya kusadikika..
Ahsante kwa maelezo mazuri naona process nzima ya uchimbaji wa dhahabu na kuchenjua. kimsingi hao ACACIA wako sahihi na wanaendana na makubaliano tuliyoafikiana kimkataba. Jambo linguine nililoliona kumbe kwa kila hatua kuna wakaguzi au observers wa serikali TMAA, TRA, Ministry of Minerals etc mashaka yangu ni weledi wa hao wakaguzi yawezekana wapo tu lakini uelewa wao ni mdogo kujua process kama zilivyoainishwa kitaalamu hapo juu, vile vile yawezekana kuna harufu ya rushwa hapo kwenye ukaguzi na usimamizi maana watoza ushuru na TMAA wanaweza kupokea kitu kidogo na kutoa takwimu ambazo sio sahihi za usafirishaji mchanga huo wenye dhahabu, fedha, Shaba na chuma unaoenda nje ya TZ kuchenjuliwa. ACACIA wao wana biashara hapo lazima hutumia mbinu kubwa ili wapate faida kubwa hiyo ni pamoja na kupitia udhaifu wetu wa kitaalam na uaminifu wa watendaji kazi wetu. linguine la kitaalam imeonekana kuna process mbili, kwanza wanapata dhahabu ghafi (Tofali) huku huku TZ na mabaki ambayo ndio mchanga pia huuzia makampuni mengine yaende kufanya hizo stage za smelting au oxidation kulingana na technologies walizo nazo. imeonekana kujenga viwanda vya uchenjuaji ni ghali kwetu huku hasa kutokana na kiwango kidogo cha upatikaji wa madini yanayotakiwa kuchenjuliwa. Chile wameweza kujenga kwa kuwa wao wanazalisha hadi tani 850,000 sie ni tani 30,000 tu hapo wawekezaji wanasita kuwekeza mtambo wa kuchenjua kutokana na production yetu ni ndogo.......mie nimeelewa hivyoLakini haya mamichanga si waliwapa wenyewe,kama wanayachukua waachieni michanga yao...
katika mikataba ya madini ya kimataifa waliolichimba ndio wanapaswa walifukie na kurudishia ardhi kama walivyoikuta hatakama waliwakuta vyura walipaswa wawatunze hadi wakimaliza kuchimba wawarudishe, kumbuka sakata la vyura wa kihansi wale wajenzi waliwatunza vyura hadi leo wanawatunza kwa kuharibu mazingira yao.Kuna pesa migodi inatoa kwa ajili ya kufukia hayo mashimo baada ya uchimbaji kumalizika...kama hayajafukiwa hiyo pesa imeliwa hapo hapo almashauri ya nzega..
mkuu hiyo biashara ndogo sana hata akina Reginard Mengi wanaiweza wao watangaze tenda waone kama hawatajengewa fasta tena wa kisasa wakaachana na huo wa wachina. Tumejenga bomba la gesi kwa us$8billioni tushindwe chekecheo la mil 500.
katika mikataba ya madini ya kimataifa waliolichimba ndio wanapaswa walifukie na kurudishia ardhi kama walivyoikuta hatakama waliwakuta vyura walipaswa wawatunze hadi wakimaliza kuchimba wawarudishe, kumbuka sakata la vyura wa kihansi wale wajenzi waliwatunza vyura hadi leo wanawatunza kwa kuharibu mazingira yao.
Mkuu hizo ni siasa tu!! Ila yale yamefika pale kihalali kabisa. Na utaniambia mwisho wa yote hutaambiwa sakata hili limeishia wapiKumbe TRA na TMAA huwa wapo kila hatua?Sasa swali je yale makontena 200 yalikamatwa au yalizuiwa?
serikali itangaze tenda wakikosa mjenzi ndio tuseme haiwezekani, tuliwahi ambiwa hatuwezi kuwa na kituo cha television eti ni gharama sana kukiendesha viko ulaya tu, leo hata akina Millard Ayo wanavyo mnaanza kutuletea story hizohizo waambieni watoto wa shule waliozaliwa 2009.Mwekezaji atakayejenga copper concentrate smelter Tanzania kwa sasa atakuwa siyo tu mwendawazimu Bali ni mwehu Kabisa.
Mwambie rais wako awashawishi wajenge sasa uone kama watakubali.
Unataka atangaze nani? Kwenye mazungumzo siku za awali 2011, ilikuwa serikali ijenge. Kama ndivyo serikali itangaze ili tusubiri kuona wafanyabiashara watakaokuwa tayari kujenga plant ya kuchenjua tani 30,000 za concentrate!wacha mawazo ya kishamba, hao walioua hivyo viwanda akina lowasa sumaye hawako tena serikalini, acacia/MEM/stamico watangaze tenda ya mwekezaji uone kama akina Dangote hawajaruka na Jet zao na kubanana Mlangoni mwa JPM, juzi tu walitaka kupiga us$ 4b kiulaini isingelikuwa JPM kulibumburua.
Anakula milioni 75 mkuu jamaa yuko njema sana yuleUnaweza ukawa mnufaikaji namba moja hata Deo Mwanyika wa ACACIA ni mbongo mwenzetu lakini ukiigusa anakuwa mkali vibaya..kuna tetesi kuwa anakula mill 30 kwa mwezi kama mshahara.
Magazet yaliripot YAMEKAMATWAHapana hayajakamatwa. Yamezuiliwa kwa sababu ya agizo la Rais.
Hayo makontena yote yamekutwa na seal ya TRA, inamaanisha TRA washakagua na kupokea chao.
Tunafanya mambo kwa hisia na mtu akielezea tofauti anaitwa mpiga dili au si mzalendo. Hakuna mtu anaweza kujaza kontena la gold na kulilaza bandarini. Wengine hata hawajui gramu moja ya gold ni kiasi gani.
serikali itangaze tenda wakikosa mjenzi ndio tuseme haiwezekani, tuliwahi ambiwa hatuwezi kuwa na kituo cha television eti ni gharama sana kukiendesha viko ulaya tu, leo hata akina Millard Ayo wanavyo mnaanza kutuletea story hizohizo waambieni watoto wa shule waliozaliwa 2009.
serikali itangaze tenda wakikosa mjenzi ndio tuseme haiwezekani, tuliwahi ambiwa hatuwezi kuwa na kituo cha television eti ni gharama sana kukiendesha viko ulaya tu, leo hata akina Millard Ayo wanavyo mnaanza kutuletea story hizohizo waambieni watoto wa shule waliozaliwa 2009.
Inawezekana Chief Operator ameandika kwa KiswahiliSamahani King Davidson je unaweza kutupa makala hii pia kwa lugha ya Kiingereza?
Kipindi cha kupigania uhuru Afrika Kusini nilishangaa sana ngozi nyeusi kugeukana wao kwa wao, kuna weusi waliokuwa wameajiriwa polisi, walikuwa wanawaamrisha mbwa kuwang'ata watu weusi wenzao.
Hii ndio inajionesha kwa hawa akina Mwanyika wa Acacia, Kafumu Dalali, Zitto Kabwe n.k wanatetea matumbo yao. na ya mabwana zao.
Tatizo vile vitabu vya zamani vya historia ya nchi yetu, Adili na nduguze, kibanga ampinga mkoloni, chifu mangungo, KULI n.k serikali imevipiga marufuku na havionekaniki, watoto wangejifunza uzalendo kuanzia shule ya msingi. lakini blah blah nyingi.