nimemwambia alieleta mada huyo ngoswe sijuibebii...ambaye amepanga na halipi kodi ni nani? Kama hujui mustafa jafar sabodo ni nani; nakushauri ufuatilie thread wanaujua wachangie kisha ndio utupie ya kwako....
Sasa habari hii inakaaje kwenye chit chat? Si ipelekwe jukwaa linalostahili?
Nadhani swala lililojadiliwa hapa ni maswala yakuingilia taarifa binafsi za kibenki na kijamii pamoja na ubaguzi, samahani naomba unielekeze swala la kutokulipa kodi limeainishwa wapi hapa???safi nehemia wabongo mmezoea vya bure tena inaelekea upo kenye nyumba wala hulipi kodi na utatoka tuu
Jukwaa la nyumba na makazi lipo humu??Sasa habari hii inakaaje kwenye chit chat? Si ipelekwe jukwaa linalostahili?
google who z sabodo.hahaaa wanalo, kaza buti kaka. mi nakuaminia kazi unaiweza! huyo sabodo sijui nani, just ignore him!!!
Nimependa uliposema "inaonekana hajui jinsi mashirika ya umma yanavyoendeshwa",mashirika yapi hayo unayoyazungumzia mkuu?kwani yote yashakufa na NHC ndo inafufuliwa....sijakuelewa kabisa mkuu.Nakubaliana na mbunge Kafulila aliwahi kusema...wanaopenda neno la mtu huyu anatatafuta umaarufu wamefirisika kifikra,akaongeza kuwa kama watu wanatafuta umaarufu kwa manufaa ya wengi basi umaarufu huo unakubalika.
Mimi sikuungi mkono kabisa kwa thread yako iliyojaa chuki binafsi,kwani Sabodo si kama binadamu yeyote tu anayeweza kutoa maoni yake ambayo hayana mashiko?Sioni ubaya wowote kwenye hayo maswali na kama wewe ni mpangaji wa NHC ukitendewa ndivyo sivyo si utaratibu wa kudai haki kwenye vyombo husika unafahamika?
Nafuatilia vipindi unavyovisema,mimi binafsi vinanipa moyo sana na kuwa kwa mipango ya mshkaji kama itatekelezeka nishaanza kuona dalili za kumiliki House ya mkopo au kupanga kwenye ka apartment ka NHC maana huku uswahilini baba wenye nyumba wanatukamua mpaka basi.Tuache hizo jamani....
Sabodo anawaza NHC aliyounda Nyerere na school of thought behind its making. Its true kwa style ya Nehemia wa TZ wengi hawataweza kukaa ktk nyumba zile. School of thought ya Nehemia ni tofauti. I agree with NHC changing its face,however,since it was established (its Act) was to offer affordable nice housing than Nehemia aanze na kubadilisha Act kwanza. Watu kama Sabodo wajue kabisaa kuwa shirika ni la Kibepari na anayekaa ndo lazima awe na hela.
Kwa kuwa ana mpango wa kujenga na kuuza nyumba kwa wapangaji wake lazima awe na data zao. Wanasema nyumba zinakaliwa sana na wahindi ni lazima ajue kama ni kweli kwa maeneo gani na atasawazishaje tofauti hizo. Lazima ajue km tenants wana uwezo wa kuja kununua nyumba anazojenga. Kama ningekuwa yeye ningefanya hivyo.
Mianya ya rushwa na kulangua nyumba imepungua sana NHC ndo maana watu hasa staff wanalalamika sana.
piga kazi mchechu nhc lazima iende kisasa tupate nyumba za kutosha..moto huo huo
ha ha ha . kwa kuuliza mtoto anasoma wapi. una account bank gani. maisha yangu binafsi anayatakia nini? Kama nimejinyima namsomesha mtoto wangu shule ya bei mbaya sitakiwi kuishi kwenye nyumba za NHC?