Mkurugenzi wa Mkuranga akataliwa na madiwani, Kikao chavunjika mbele ya Naibu Waziri

nasema tena wamtoe wasimtoe sisi tushafaham mbunge wenu BADWEL ni mlafi hafai kanisani wala msikitini, yeye kumnyanyasa mumewe hilo sisi halituhusu hayo inawezekana ni makubaliano yao

hizo story za Kumnyanyasa mumewe zitakuwa za kutunga tu
 
Sipora ni Jimbe la Kazi amethhibiti mianya ya rushwa Mkuranga na ufisadi unaofanywa na wafanyakazi wa halmashauri wakishirikiana na madiwini. kabla ya kufika Sipora Mkuranga magari Binafsi ya Baadhi ya madiwani akiwemo mwenyekiti yalikuwa yanawekewa mafuta kwa kutumia hela ya halmashauri. Nafikiri pia hela ya BADWEL inafanya kazi. Badwel atakuwa amehonga hao madiwani kama alivyohonga waandishi wa habari maana hata habari ya kesi yake haiandikwi tena kama kesi zingine. Kuna mtu wa usalama wa Taifa aliniambia Badwel na hela yake yote nani atamfunga?kesi hii itapigwa mpaka uchaguzi mwingine utakuja. Naomba huyo mama watuletee sisi watu wa Halmashauri ya Babati vijijini. Tunamhitaji atamawa liza mchwa kwenye halmashauri yetu. Hawa Ghasia chondchonde MLete Babati vijijini.

mkuu bado kidogo!
 
Kwa nini huyu mama anapingwa na madiwani wa ccm tu? alipokuwa arusha alikuwa anaungwa mkono na madiwani wote wate wa cdm
 
Anayesemwa hapa sio Sipora Liana....nafikiri ni aliyechukua nafasi yake kwasababu Sipora sio Mkurugenzi tena kwa sasa
 
Ukweli uliopo ni kwamba huyu Mama ni mchapa kazi wa kweli ila, wananchi wa Mkuranga wanapaswa kujua kuwa hao madiwani waliotoka nje ndo wala rushwa wa fedha zao. huyu mama ni muadilifu sana na huwa hapendi wala rushwa hata ukiangalia rekodi yake ya kazi iko safi kabisa amekuwa akipandisha mapato ya Halmashauri kila anapopelekwa.

Nawaomba wananchi mumtie moyo huyu mwanamke, hii ni vita ya uovu dhidi ya uadilifu
 
wewe keneth huyu mkurugenzi wa sasa ni mjinga ameshusha mapato makubwa sipora liana ndio alikuwa jembe sio huyu kiruka njia,halafu mume wake ni katibu wa tsd hapo mkuranga;majanga matupu.
 
wewe keneth huyu mkurugenzi wa sasa ni mjinga ameshusha mapato makubwa sipora liana ndio alikuwa jembe sio huyu kiruka njia,halafu mume wake ni katibu wa tsd hapo mkuranga;majanga matupu.
anaitwa saada mwaluko,huyu ndio mkurugenzi wa sasa wa mkuranga,ameiharibu mkuranga mpaka basi,mapato yameshuka sana na utendaji wa maafisa umeporomoka sana katika kipindi cha huyu mama,tofauti kabisa na wakati wa mama spora liana
 
Back
Top Bottom