Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, aamua kuvuruga uandikishaji, Dr. Slaa aingilia kati Kuokoa jahazi

Acha kuteta ujinga wewe! Unajua maana ya hilo jina ulilojipa? Masonjo maana yake Mende, sasa usiwe na akili za kimende mende wewe kijana

Matusi yako hayaondoi ukweli kuwa Chadema hawajawahi kufanya maandamano yaliyofikia mwisho na kufanikiwa.

Matusi yako hayaondoi ukweli kuwa maandamano tena yasiyokoma(japo yalikoma ndani ya masaa tu kwa lazima) yalikuwa ya kumuondoa madarakani Meya, Meya ambayo mpaka sasa yupo kwenye kiti cha Umeya na anaongoza vikao ambavyo akina Meya wanahudhuria kama kawaida.

Matusi yako hayaondoi ukweli kuwa wakati nyir mnalia na njaa zetu, Lema anasubiri kuingiziwa Million 230 na hatawagawi ata senti.
 
Wakati wao wanaandamana mwenzao Lema anasubiri kupokea Million 230 na hatawagawia ata senti.

Akili ni nywele

Kitambulisho hicho ni zaidi ya 230millions kwakuwa mmelelea kwa FURSA muda wote mnawaza FURSA za kupata 10 millions ya mboga
 
Jamani... Pamoja na janja ya CCM bado lazima tuwamalize. Arusha ccm imebaki na hawa waswahili Wa Bomdeni tu ambao hawataki maendeleo.
 
Mkuu hakika kuna watu wameshageuzwa MISUKULE ila hawajijui tu!

Ni misukule kwelikweli.Inatumiwa na watu kama mitaji nayo inakwenda tu.

Na damu zao zinataka zitumike kama mtaji wa kisiasa kumpa mtu/watu umaarufu.Kama sio ujinga huu ni nin?

Yaan mtu mzima ufe kwa ajili ya mwanaume mwenzio apate umaarufu na apate pesa zaidi(ubunge) za kulisha familia yake?wale waliokufa mwaka 2011 familia zao zimepata nin?wakati wao wamekufa leo hii Lema yupo ofisini na Meya huyohuyo.

Na bado mnatafuta damu za watu wengine tena kwa mtaji wa uchaguzi ujao?kama kuna mtu atakubali kufanya hivyo basi huyo ni zaidi ya msukule.

Wakati wao wanakufa familia ya Lema ndio kwanza pesa zinaongezeka.
 
Kitambulisho hicho ni zaidi ya 230millions kwakuwa mmelelea kwa FURSA muda wote mnawaza FURSA za kupata 10 millions ya mboga

teh teh teh msukule kwelikweli.

Hiyo million 230 anayopokea Lema ni pesa zako, na za masikini hao wa Arusha.

Lakini Lema hatawagawia ata senti.Alafu leo mmwage damu eti Lema ili apate tena pesa kama hizo.

Kwahiyo kula kwa Lema ndio furaha yako?kunufaika kwa familia ya Lema ndio kuridhika kwako?

Kutoka Lema kawa mbunge masikini yule wa Arusha kapata hiyo million 230?

Msukule kwelikweli.
 
Jamani... Pamoja na janja ya CCM bado lazima tuwamalize. Arusha ccm imebaki na hawa waswahili Wa Bomdeni tu ambao hawataki maendeleo.
 
teh teh teh msukule kwelikweli.

Hiyo million 230 anayopokea Lema ni pesa zako, na za masikini hao wa Arusha.

Lakini Lema hatawagawia ata senti.Alafu leo mmwage damu eti Lema ili apate tena pesa kama hizo.

Kwahiyo kula kwa Lema ndio furaha yako?kunufaika kwa familia ya Lema ndio kuridhika kwako?

Msukule kwelikweli.

Napata shaka na ufahamu wako, haki iliyotambuliwa kikatiba unataka kuilinganisha na 230millions? Ambazo by default atazipata, hapa Lema anatusaidia anaweza akakaa kwake na akazipata, soma post usije ukadhihirisha upumbavu wako hapa
 
Lema kitu gani jitu liongo hilo, hapati kitu mwaka huu, nyie mnaomtetea kawaoa ndo mana mnamtetea hasa hasa wewe Mmawia

Kama Lema kitu gani, muongo, tumia udhaifu wake kama fursa, njoo ugombee October umtoe tupate mbunge kitu na mkweli
 
Mbunge wa Arusha mjini ni hovyo kabisa. Mbona mikoa mingine wananchi hawapotezi muda kwa maandamano? Arusha mnapaswa kumpuuza Lema kama kweli mnataka maendeleo. Watu mnalilia muda hautoshi lakini hata huo muda mchache hamuutumii mnabaki kuadamana hovyo.

ukiwa upande wa neema huwezi kujua upannde wa majanga, upo upande wa ccm ambao vyombo vyote vya dola vina pendelea, huwezi ona maumivu ya upande wa Lema, Arusha ni taaabu sana ccm wanataka kwa udi na uvumba kurudisha jimbo hilo. usiwe kipofu kwa manufaa ya muda toka huko uliko.
 
Napata shaka na ufahamu wako, haki iliyotambuliwa kikatiba unataka kuilinganisha na 230millions? Ambazo by default atazipata, hapa Lema anatusaidia anaweza akakaa kwake na akazipata, soma post usije ukadhihirisha upumbavu wako hapa

Haki hiyo ya kikatiba tayari unayo by default.Haihitaji akili kubwa kujua kuwa kama siku ya mwisho ya kuandikisha kutakuwa bado na watu kwenye hiyo list ambao hawajaandikishwa au kutakuwa na foleni kwenye vituo basi lazima kutakuwa na extension.Haihitaji akili kujua hilo.

Tatizo ni akili za bangi za mbunge na kutafuta cheap popularity.Ndio maana tunasema tumieni akili na sio nguvu.
Mwisho wa siku mnarudi na njaa zenu na Lema anarudi kwenye familia yake na pesa mnazomsaidia nyie kuzipata, na misukule mingine itakufa eti Lema apate, kama sio umsukule huo ni nin?
 
Contradiction "default haiwezi kuwa assumption, hakuna sheria inayosema kwamba siku zikiisha kama bado watu hawajaisha basi siku zitaongezwa, acha assumption tunazungumzia legal days here ambazo ni saba nyongeza ni assumption, Njoo ugombee October ili tupate mbunge asiye mvuta bangi fursa hiyo
 
Mwisho wa zoezi asilimia 50% ya wenye sifa ya kuandikishwa watakuwa hawajaandikishwa! Mjini nyie wenzetu mna maco yanayoona na midomo inayotoa sauti. Mna vipaza sauti! Vijijini je? Madudu matupu!
 
Matusi yako hayaondoi ukweli kuwa Chadema hawajawahi kufanya maandamano yaliyofikia mwisho na kufanikiwa.

Matusi yako hayaondoi ukweli kuwa maandamano tena yasiyokoma(japo yalikoma ndani ya masaa tu kwa lazima) yalikuwa ya kumuondoa madarakani Meya, Meya ambayo mpaka sasa yupo kwenye kiti cha Umeya na anaongoza vikao ambavyo akina Meya wanahudhuria kama kawaida.

Matusi yako hayaondoi ukweli kuwa wakati nyir mnalia na njaa zetu, Lema anasubiri kuingiziwa Million 230 na hatawagawi ata senti.

MKUU UKAWA NI KANSA!!! Inawatafuna wengi bila kujijua!
 
Mwisho wa zoezi asilimia 50% ya wenye sifa ya kuandikishwa watakuwa hawajaandikishwa! Mjini nyie wenzetu mna maco yanayoona na midomo inayotoa sauti. Mna vipaza sauti! Vijijini je? Madudu matupu!

Hizo takwimu umepewa na mke wako! Mrudishie mwambie zimekaa kibangibangi!
 
Back
Top Bottom