Vladimirr JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 575 Reaction score 633 Dec 7, 2015 #1 HAYA HAYA KAZI YA MAGUFULI YAANZA RASMI Ni katika kikao kilichowahusisha wafanyakazi wa sekta binafsi nchini. Mkurungenzi na mmiliki wa IPP media, ndugu Reginald Mengi alishikwa mkono na mheshimiwa rais Magufuli kuonesha kufurahi uwepo wake mahali pale ha ha ha jokes
HAYA HAYA KAZI YA MAGUFULI YAANZA RASMI Ni katika kikao kilichowahusisha wafanyakazi wa sekta binafsi nchini. Mkurungenzi na mmiliki wa IPP media, ndugu Reginald Mengi alishikwa mkono na mheshimiwa rais Magufuli kuonesha kufurahi uwepo wake mahali pale ha ha ha jokes
E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 17,079 Reaction score 12,313 Dec 7, 2015 #2 Hiki kijamaa kinafiki sana nilikiona kinamnong'oneza jambo nikatamani niingie ndani ya TV nikakizabe kibao.
Hiki kijamaa kinafiki sana nilikiona kinamnong'oneza jambo nikatamani niingie ndani ya TV nikakizabe kibao.
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,574 Dec 7, 2015 #3 eddy said: Hiki kijamaa kinafiki sana nilikiona kinamnong'oneza jambo nikatamani niingie ndani ya TV nikakizabe kibao. Click to expand... Hebu fafanua
eddy said: Hiki kijamaa kinafiki sana nilikiona kinamnong'oneza jambo nikatamani niingie ndani ya TV nikakizabe kibao. Click to expand... Hebu fafanua
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,419 Reaction score 82,422 Dec 7, 2015 #4 Hahahahaaa
S sily JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 926 Reaction score 578 Dec 7, 2015 #5 nifah said: Hahahahaaa Click to expand... Teh teh wewe ni shida..