Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,300
- 2,716
Safi sana japo angalizo mwendazake alikuwa anajua hesabu kwa hiyo akiona report na akitajiwa anamuwesomwa haraka wa kujua wametuibia. Je mama naye yuko hivyohivyo.
Tunashukuru mama anaweza kuongea na wawekezaji wakaelewana. Japo mabepari huwa nia yao siku zote ni kunyonya nchi yetu. Mbona Barrick kama inasinyaa hivi mana retrenchment ya wafanyakazi ilitembea sana Bulyanhulu na Northmara.
Huyo Georgia mutaghywa atakuwa ana kibali cha ajabu kutoka kwa mungu maana yeye anatua kufanyakazi na mabepari tuu alianzia voda, akaenda An bev TBL na sasa yuko Barrick ndio kachukua nafasi ya mwanyika.