Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,492
- 13,551
Mkuu wa mkoa wa Morogoro ataka afisa sumatra aliyepelekea wenye vyombo vya usafiri kugoma ahamishwe/awajibishwe. Nampongeza Mkurugenzi mkuu wa SUMATRA kwa msimamo wake wa kukataa kumfukuza au kumhamisha afisa huyo wa SUMATRA morogoro mpaka uchunguzi ufanyike. Lazima sheria zifuatwe, na siyo kama alivyojigamba mkuu wa mkoa kwa kusema agizo lake lazima litekekelezwe kwa sababu yeye ni Mgufuli wa Morogoro. Nadhani huyu mkuu wa mkoa itabidi atumbuliwe na Dr. Magufuli maana hajui kufuata taratibu.