Mkurugenzi PSSSF walipe wastaafu toka 2018 hawajalipwa

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Nachukua nafasi hii kumtaka Mkurugenzi wa PSSSF awafikirie Wastaafu juu ya Mafao yao. Wastaafu hao wamekuwa wanafuatilia mafao ya Dodoma bila mafanikio, na kupewa kauli za kuwatoa Ofisini.

Wakati umefika kwa Mkurugenzi Mkuu kuingilia kati suala la Mafao ya Wastaafu hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Hivi hii mifuko ya hifadhi ya jamii wakuu wake wakishakalia kiti cha ukurugenzi ugeuka na kuwa shetani ama? Hicho kiti cha ukurugenzi kina nini au kilitambikiwa kikawekewa mashetani ya kunyima haki za watu? Mtu umechangia mpaka umestaafu iweje mnakataa kuwalipa mafao yao kwa wakati wazee hawa? Hawa wakurugenzi (wengi wamefukuzwa na kiteuliwa wapya) lakini kila anayekalia kiti hicho anaongea kama joka wala hayuko kuwasaidia wanufaika wa mafao yao! Kwanini?
 
Nachukua nafasi hii kumtaka Mkurugenzi wa PSSSF awafikirie Wastaafu juu ya Mafao yao. Wastaafu hao wamekuwa wanafuatilia mafao ya Dodoma bila mafanikio, na kupewa kauli za kuwatoa Ofisini.

Wakati umefika kwa Mkurugenzi Mkuu kuingilia kati suala la Mafao ya Wastaafu hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watawalipa nini wakt pesa zote zimechukuliwa na jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja akusanye fedha.

Uvumilivu kidogo.
20200114_121930.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom