Mkurugenzi Mtendaji - mke anahitajika

Mkurugenzi Mtendaji - mke anahitajika

Filip

Member
Joined
Dec 30, 2023
Posts
66
Reaction score
175
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Mkurugenzi Mtendaji (mke na sio mwanamke) anahitajika.
KITUO CHA KAZI: MBEYA MJINI

Sifa za muombaji:
1. Awe na nia ya kazi anayoiomba sio kujaribu.
2. Umri miaka 25 hadi 33.
3. Asiwe na mtoto
4. Matured enough
5. Mwenye hofu ya Mungu
6. Aanzie elimu ya kidato cha 4

KARIBU KWA MWENYE SIFA NA UHITAJI
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Mkurugenzi Mtendaji (mke na sio mwanamke) anahitajika.
KITUO CHA KAZI: MBEYA MJINI

Sifa za muombaji:
1. Awe na nia ya kazi anayoiomba sio kujaribu.
2. Umri miaka 25 hadi 33.
3. Asiwe na mtoto
4. Matured enough
5. Mwenye hofu ya Mungu
6. Aanzie elimu ya kidato cha 4

KARIBU KWA MWENYE SIFA NA UHITAJI
Ukipata wawili nigawie mmoja
 
Ukipata wawili nigawie mmoja
Bila bila until now sijui kuwa wote wadada wa humu wameolewa au ndio wamekuwa busy na mihangaiko ya maisha.

Jamani mke wangu mtarajiwa upo wapi? ukuje bana popote ulipo ikufikie hii taarifa kwa sababu tunajichelewesha na pia tunachelewesha watoto kuanza shule. Come this way my wife please.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom