Mkurugenzi mkuu wa TBC, Dr Ayoub Ryoba aendeleza matusi kwa wakosoaji wake. Aivaa JamiiForums...

Mwandishi wa pili kumiliki Range Rover tafadhali weka mkono juuu.
 
Unaweza kuwa na Range rover lakini, inalipiwa uchakavu ukileta bongo. Jina tuu halisumbui..
 
kama ni kweli kayatamka maneno hayo basi Ryoba atakuwa ni mtu tofauti na nilivyokuwa namchukulia
 
Range Rover!
Na kulipwa 60m/=! Yale yale ya Ndulu, nimeacha bonge la kazi majuu, nimekuja hapa kupewa nyumba yenye swimming pool , marupurupu ya kufa mtu, ulinzi na Ma VX imekuwa issue kwa watu?!
Bro unajuwa hawa wapuuzi na wapumbafu wanasahau kazi za serikali ni wito na kujituma, sio lazima ukubali, malipo yake sio kama ya kampuni binafsi, kama huwezi fanya, tuna mlolongo wa wasomi watakaoweza, sepa fasta tu kwenye utajiri, ila kama ulikubali kuifanya hii kazi ya nchi basi kubali utakachopewa bila manung'uniko na kupiga kazi ile mbaya..
 
Ili kulinda heshima yake bora angenyamaza tu.ama ajiuzulu kabisa hiyo nafasi ili arudi kwenye kazi yake ya zamani kuepusha hizi rapsha.
 
Back
Top Bottom