Yapi hayo?mbona makosa meng sana
Kabisa!! Na anajiamini sana na anapenda mno kusoma na kuelewa kitu kabla ya kuongea.... ni miongoni mwa wanasiasa wasioogopa kwenda kwenye mijadala ya kisomi!!Hongera sana kupata Fursa hiyo. Mie huwa naamini kwny Presentation ya Hotuba za hadhi ya Kisomi Mzee Mkapa alikuwa bora zaidi kuliko hata Mwl Nyerere Kama utasikiliza facts zao sio legacy zao
Unataka divert attention? Umeielewa tone ya hilo chapisho na anachotaka maanisha mleta mada? Mfano His Excellent.... alitaka maanisha hayo ya 11_15?Wengi hamjamwelewa mleta mada, amejaribu kuwaonyesha sehemu ambazo CEO kaonyesha kusifia ufanisi wa mfuko katika kipindi hicho cha 11-15.
Nadhani nia ya Ritz ni kuquestion habari zinazovuma kuhusu wizi uliofanyika kwenye mradi wa Kigamboni.
Soma thread zake za huko nyuma utajua ninachomaanishaUnataka divert attention? Umeielewa tone ya hilo chapisho na anachotaka maanisha mleta mada? Mfano His Excellent.... alitaka maanisha hayo ya 11_15?
Mi nazungumzia kilichopo hapa sio thread za nyuma!! Au umevaa joho jipya?Soma thread zake za huko nyuma utajua ninachomaanisha
Mkuu why unamsaidia? Tulitaka athibitishe mwenyewe kwanza!Makosa ni kama kuandika Eastern Africa badala ya East Africa.
Baada ya neno "Furthermore" ilitakiwa ifuate koma yaani angeandika "Furthermore,..."Kosa hili dogo pia liko pale alipoandika Arusha Dodoma bila kutengani majina ya mikoa hii miwili kwa kuweka koma yaani "Arusha, Dodoma". Makosa ya kawaida haya hata sisi tunafanya.
Hapo alipoandika "like any" ingependeza zaidi kama angeandika "like any other...".Neno "other" limekosekana hapo.
Hapo "in this phase" nadhani mleta mada alitaka pasome "during this phase".
Vile vile hapa alipoandika "on planning..." nadhani mleta mada alitaka pasomeke "in planning..."
Makosa ni kama kuandika Eastern Africa badala ya East Africa.
Baada ya neno "Furthermore" ilitakiwa ifuate koma yaani angeandika "Furthermore,..."Kosa hili dogo pia liko pale alipoandika Arusha Dodoma bila kutengani majina ya mikoa hii miwili kwa kuweka koma yaani "Arusha, Dodoma". Makosa ya kawaida haya hata sisi tunafanya.
Hapo alipoandika "like any" ingependeza zaidi kama angeandika "like any other...".Neno "other" limekosekana hapo.
Hapo "in this phase" nadhani mleta mada alitaka pasome "during this phase".
Vile vile hapa alipoandika "on planning..." nadhani mleta mada alitaka pasomeke "in planning..."
Mi nimeona hiyo his Excellent the presidentMbona kiingereza ukiondoa vitypo vidogo vidogo kiko poa tu, au tatizo nini?
Kahyarara kasoma OXFORD , kwa wenye kiingereza chao!
Kosoa mengine, lakini sijaona ishu kubwa ya kiingerez Hapo
Hahahaa. Utashangaa utakapoona hicho Kiswahili ndio kinaandikwa hovyo kuliko unavyofikiri. Kuna watu wamegoma kabisa kutofautisha matumizi ya r, l, i, h. Kichwa cha habari kingeliandikwa "TAHALIFA".Mhhh, kiingereza kinasumbua sana. Ni vyema tutumie lugha yetu adhimu na mwanana tuliojaaliwa na manani- Kiswahili pale inaposhindikana kuliko kujiaibisha kwa kiingereza cha kuchapia. Kama usomi ni kiingereza mbona Shishi baby anaafadhali!