Mkurugenzi mkuu CRDB mulika tawi la Chamwino Dodoma

Kufa c mwiko

JF-Expert Member
May 26, 2013
733
293
Sijawai kuona tawi lenye huduma za hovyo niliyoweza kupata huduma za crdb kuliko tawi la chamwino dodoma lililopo karibu na hospitari ya mkoa wa dodoma huduma zao ni kichefuchefu sasa sielewi ni kuwa wameizoea mno kazi au nini kwa mfano unachukua mkopo na umetimiza vigezo vyote form zinakaa mezani zaidi ya wiki tatu mpaka ukamsumbue meneja ndani ndipo ushughurikiwe uwezi kupata mkopo mpaka jasho likutoke hasa tafadhari mkurugenzi mulika tawi lile crdb ina heshima yake lakini sio tawi la chamwino dodoma.
 
Binafsi nilijua nipo peke yangu kuna siku nikiwa mahali fulani mjadara ulikuwa ni kero tawi la crdb chamwino any way ndivyo tulivyo wa tz siku ya kuomba kazi unatia huruma ngoja uizoee
 
Kwa wiki hii ni Uzi wa7 kuhusu Crdb...
Eg 1. Crdb chanika
2. Meneja crdb ashirikiana na wezi na magaidi
3. Crdb Burundi fungeni
4. Crdb kitengo cha mikopo kimulikwe
5. Crdb chanwino
6. Ukabila crdb
Etc etc mpaka mnaboa na crdb yenu.
Possibly kuna motive behind.
Mtajuana na crdb yenu uko msituletee wanajf. Yapo mengi ya kitaifa kila siku mnatuletea mara kukopa mara crdb
 
Hata majibu yao pale chamwino ni ya hovyo sana
Hasa kaka mmoja hivi maji ya kunde dah jamaa ni noma ukifika pale ana nyodo sana ova anataka kukukopesha roho! Ila wale wadada hasa bonge ana nidhamu nahisi kile ki bro ndio kinahusika na mikopo.
 
Crdb dodoma yote ovyo ni gibu la kutumbuliwa kabsa kuna dogo pale jiran na nyerere square nataka nitoe hela zangu ananigbu ovyo...nilimpotezea tu
Naomba nitoe onyo kwako dogo tena...nikilud ukaludia ushenz ntatumbua jipu lako
 
Hilo ni tatizo LA CRDB everywhere
Sijui wanajiona kwamba wana wateja wengi ndo maana hata thamani ya mteja hawaioni

Kuna siku nlienda CRDB tawi La pale KCMC moshi, kwa kweli huduma nliopata pale sikupendezwa Nayo hata kidogo

I think wahusika inabidi waliangalie hili swala

It will cost them
 
Kwa wiki hii ni Uzi wa7 kuhusu Crdb...
Eg 1. Crdb chanika
2. Meneja crdb ashirikiana na wezi na magaidi
3. Crdb Burundi fungeni
4. Crdb kitengo cha mikopo kimulikwe
5. Crdb chanwino
6. Ukabila crdb
Etc etc mpaka mnaboa na crdb yenu.
Possibly kuna motive behind.
Mtajuana na crdb yenu uko msituletee wanajf. Yapo mengi ya kitaifa kila siku mnatuletea mara kukopa mara crdb
Kuolewa aolewe mwingine kiuno ukate wewe(mauno)
 
Crdb customer care yao kny mikopo hasa ya watumishi wa umma ipo ovyo sana,wanachelewa sana kutoa mikopo na hilo nafikiri ni tatizo la nchi nzima,unakuta ushakamilisha taratibu zote,hadi utumishi wanakuwa wameingiza details zako kwenye lawson lakini cha ajabu wiki 3 hadi 4 ndio wanakupatia mkopo,tofauti kabisa na benki ya makabwela nmb au barclays,wanaboa sana yaani utafikiri hizp hela haukopeshwi bali unapewa bure
 
Back
Top Bottom