Ndege yenu hii. "Inaitwa Kilimanjaro Hapa kazi tu" Endelea kuchekelea.Ah ah ah ah nimecheka kichaga
Siku tatu kabla ya kuzinduliwa kwa safari za ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner, mkurugenzi mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Ladslaus Matindi amesema maandalizi yote yamekamilika.
Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba watu 262, itaanza kupasua anga ya Tanzania Jumapili Julai 29, 2018 kwa safari za Dar es Salaam, Kilimanjaro na Mwanza.
Akizungumza na MCL Digital leo Alhamisi Julai 26, 2018 Matindi amesema kwa siku ndege hiyo itafanya safari mbili, moja asubuhi na nyingine jioni.
Kuhusu idadi ya abiria waliokata tiketi hadi sasa kwa ajili ya kusafiri na ndege hiyo ya kisasa, amesema jambo hilo haliwezi kuwekwa wazi kwa sababu za kibiashara.
Soma Zaidi:
Ukarabati uwanja wa ndege Mwanza mbioni kuanza
“Hayo hayawezi kusemwa kwa sababu najua wapinzani wetu nao wanasubiri kusikia hilo. Subirini siku hiyo mtashuhudia,” amesema Matindi.
“Ni ndege yetu na shirika hili ni la umma lakini hiyo haibadilishi sheria za mchezo, kwenye biashara sheria zinabaki vilevile. Nia yetu ni kufanya vizuri kwenye soko.”
Ndege hiyo iliyopewa jina la Kilimanjaro Hapa Kazi Tu iliwasili nchini Julai 8, 2018 saa 11:29 jioni na kupokelewa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais John Magufuli.
Dreamliner inafanya idadi ya ndege ambazo zimeshanunuliwa na Serikali kufikia nne kati ya saba ambazo zinatarajiwa kununuliwa kwa lengo la kuifufua ATCL iliyokuwa na ndege moja pekee yenye uwezo wa kubeba abiria 51.
Ndege zingine tatu zilizowasili nchini ni aina ya Bombardier Q400 zenye uwezo wa kubeba abiria 76 kila moja.
ukiona wanafichaficha ujue kwamba wanaenda mswaki .
Acheni kubeza kila kitu, tatizo akili zetu kama nyumbu mmoja akikoment upupu wooooote kama mazombi tunabeza. Ingia TOVUTI ya ATCL then jifanye unataka ticket hata ya kesho ulete majibu! Almost SOLD OUT through out a week. Halafu mazwazwa wanasema mswaki, mapimbi yatapata sana sheeedarukiona wanafichaficha ujue kwamba wanaenda mswaki .
Hongereni sana,pigeni kazi,msituaibishe.Siku tatu kabla ya kuzinduliwa kwa safari za ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner, mkurugenzi mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Ladslaus Matindi amesema maandalizi yote yamekamilika.
Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba watu 262, itaanza kupasua anga ya Tanzania Jumapili Julai 29, 2018 kwa safari za Dar es Salaam, Kilimanjaro na Mwanza.
Akizungumza na MCL Digital leo Alhamisi Julai 26, 2018 Matindi amesema kwa siku ndege hiyo itafanya safari mbili, moja asubuhi na nyingine jioni.
Kuhusu idadi ya abiria waliokata tiketi hadi sasa kwa ajili ya kusafiri na ndege hiyo ya kisasa, amesema jambo hilo haliwezi kuwekwa wazi kwa sababu za kibiashara.
Soma Zaidi:
Ukarabati uwanja wa ndege Mwanza mbioni kuanza
“Hayo hayawezi kusemwa kwa sababu najua wapinzani wetu nao wanasubiri kusikia hilo. Subirini siku hiyo mtashuhudia,” amesema Matindi.
“Ni ndege yetu na shirika hili ni la umma lakini hiyo haibadilishi sheria za mchezo, kwenye biashara sheria zinabaki vilevile. Nia yetu ni kufanya vizuri kwenye soko.”
Ndege hiyo iliyopewa jina la Kilimanjaro Hapa Kazi Tu iliwasili nchini Julai 8, 2018 saa 11:29 jioni na kupokelewa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais John Magufuli.
Dreamliner inafanya idadi ya ndege ambazo zimeshanunuliwa na Serikali kufikia nne kati ya saba ambazo zinatarajiwa kununuliwa kwa lengo la kuifufua ATCL iliyokuwa na ndege moja pekee yenye uwezo wa kubeba abiria 51.
Ndege zingine tatu zilizowasili nchini ni aina ya Bombardier Q400 zenye uwezo wa kubeba abiria 76 kila moja.
Ndege inapofanya safari, ni round trip, kwenda na kurudi.Hivi Pascal kwa uelewa wangu mdogo jee niko sahihi hapa? Kwamba hapo asubuhi ni trip mbili na jioni ni mbili? Maana ile safari ya asubuhi kwenda Mwanza ina namba yake na kutoka Mwanza kuja Dar pia na namba yake kwa hiyo hizo ni safari mbili tofauti.
Kwa maana hiyo asubuhi na jioni ziko safari nne. Au nakosea?
Acha basi hizo, kwa gharama ya nani sasa?Kuna watu watasafirishwa bure ili kujaza ndege. Kama CCM wakati wa uchaguzi wanavyobeba watu kuwapeleka kwenye mikutano ya kampeni ili waonekane wamejaza uwanja.
Wadau bei hizo hapo, nadhani hii flight 110 itakua ndio dreamliner! Hiyo price ni one way!Kakate tiketi ulete mrejesho acha kelele za majukwaani.
Kwa gharama ya wananchi, mimi na wewe. Hii serikali unaijua unaisikia?Acha basi hizo, kwa gharama ya nani sasa?
Duh, kuna tija gani hapo sasa!Kwa gharama ya wananchi, mimi na wewe. Hii serikali unaijua unaisikia?
Kuna watu watasafirishwa bure ili kujaza ndege. Kama CCM wakati wa uchaguzi wanavyobeba watu kuwapeleka kwenye mikutano ya kampeni ili waonekane wamejaza uwanja.
Kituko kingine hiki