Ndagullachrles
Senior Member
- Jun 20, 2023
- 198
- 209
nina dakika chache za kuwa hapa lakini namtumia salama tu Mkurugenzi Manispaa ya Moshi,Mwajuma Nasombe aache kufungia biashara za watu soko la Mbuyuni.
Wafanyabaishara hawa walipatwa na mkasa wa kuulinguliwa soko mara mbili,mwaka 2022 na mwaka jana wameingia hasara kubwa za kupoteza mali zao wamelipishwa madeni ya nyuma baada ya soko kukarabatiwa kabla vichwa vyao havijakaa sawa leo wamepandishiwa kodi hadi laki tatu kwa mwezi.
nitarudi na data kamili hapa kesho