Mkurugenzi kinondoni Muhandisi mpeki anakuangusha

Pelly

Senior Member
Mar 26, 2013
117
91
Habari zenu wanajamvi,
kuna viwanja msasani mikoroshini viwanja viliishia kupimwa na vingine havijapimwa sasa huyo msomali alishashtaki siku nyingi na akaombwa alipe fidia maana yeye kanunua wakati kakuta kuna watu akawa anahonga na kushindwa sasa kasubiri huyu mjane kafiwa na mume ndiyo kampata huyo mpeki cha ajabu kituko cha ajabu sana maeneo pale msasani mikoroshoni
kuna mjane amevunjiwa ukuta bila taarifa na anayehusika ni huyo muhandisi mpeki amekula rushwa ya milioni 2 net na huyu anayedai ukuta ni wake mwenye asili ya kisomali, inasemekana amekuwa akijitapa kuwa nishatembeza pesa na watakuja kuvunja asubuhi kweupe na leo hii ndiyo wamevunja kama alivyosema.
na inasemekana mtendaji serikali ya mtaa ambaye ni mgeni amekuwa akiogopa hata kutoa maamuzi yoyote kitu ambacho ata wananchi niliowauliza wanasema wanatakiwa afukuzwe kazi maana ameshindwa kusimamia haki.
naomba mkurugenzi mfuatilie tena huyo muhandisi mpeki maana nasikia ndiyo tabia yake na alishasimamishwa kazi.
nimeandika kwa haraka maana naingia kwa kikao muda si mrefu.
huyu mjane anaomba ushauri
 
Back
Top Bottom