Kama akina Twiga ndio Watalii wenyewe , basi sawaMbona kama ufafanuzi umekua mwingi, siku zote hua najisemea ukiona ufafanuzi umeanza kua mwingi ujue kuna kitu hakipo sawa
[emoji38][emoji38][emoji38]Vifaa mara watalii yote yanini hakuna mtu atayekuja huko kukunjana mashati hamna haja ya kutenda dhambi ya kundanganya
[emoji38][emoji38][emoji38]Waziri na mkurugenzi mngekaa pamoja mkapanga uwongo mmoja., Badala ya kilq mtu kuja na uwongo wake
Walisema ilileta mizigo ...sasa ni watalii?Mtalii hawezi kupanda kwenye NDEGE ya mizigo huu ni utetezi WA mwaka 47 kila MTU anajua kinachoendelea
Nimefuatilia huu mkutano kupitia zoom. Nilijuta kwa nini sikuweka link. Niliwasikia na kuwaona viongozi akiwemo Mhe. Waziri Balozi Pindi. Ukweli kuna mageuzi makubwa sekta ya utalii, ambapo kuondoa usumbufu kwa watalii zipo ndege zinaweza kutua karibu na viwanja vya ndege karibu na hifadhi au ndani. #Tatizo walichelewa kutoa ufafanuzi. Ila nawapongeza mno Watch Tanzania kuandaa mkutano wa leo. Tutafute taarifa sahihi kabla ya kuongea humu🙏🙏🙏Mbona kama ufafanuzi umekua mwingi, siku zote hua najisemea ukiona ufafanuzi umeanza kua mwingi ujue kuna kitu hakipo sawa
Umemsahau msemaji wa.serikali nae wangemkaribisha maana nae kajitwika uvuvuzeraWaziri na mkurugenzi mngekaa pamoja mkapanga uwongo mmoja., Badala ya kilq mtu kuja na uwongo wake
Bwana Bwana bwana !Mbona Msigwa alisema imeleta mizigo ya watalii??