Majungu si mtaji.Hebu soma na elewa vizuri taratibu za utoaji zabuni.Toka lini TEO akawa mjumbe wa pmu, evaluation team au mjumbe wa bodi ya zabuni? Kuwa makini siyo kukurupuka na kuwapa watu sumu bila maziwa.unachotakiwa kutupa hapa ni evaluation report nasi tungechambua hapa.