Kumtetea La profesari kazi sana... Maana unaweza ukakabaaa weee, anakuja kukuangusha usipotarajia.!!
Aliambiwa watanzania wa sasa huwawezi.. Akang'ang'ania... Matokeo yake ndiyo hayo sasa... Urais umekuwa wa kawaida kama vile Urais wa Wasafi Classic..
Siku hizi utasikia mtu anaropoka tu... 'nimejipima nimeona natosha hivyo natangaza nia ya kugombea urais".. Unafikiri kajipima kwa nani? Kwa aliyopo madarakani..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.