What? What's the difference? Rudia tena:"jamaa hatuhumiwi kwa kumiliki hayo magari, ila tuhuma ipo kwenye upatikanaji wa hayo magari..." What's the difference between tuhuma ya kumiliki magari na tuhuma ya kupata magari?Mkuu, jamaa hatuhumiwi kwa kumiliki hayo magari, ila tuhuma ipo kwenye upatikanaji wa hayo magari
Wewe nani kakuuliza umepata wapi hela za kununua hereni hizo za dhahabu na almasi ulizovaa hapo, una mshahara gani wewe Agyman? It is the height of absurdity to second guess people's integrity based on the property they own.Tatizo na kinachotakiwa kujulikana, wamepata wapi hizo pesa?
Wakuu,
Taarifa zilizopenya kwenye viunga hivi zinadai kuwa mawaziri walioachishwa kazi [Mkulo, Maige na Mzee wa Megawatts (Ngeleja)] wako kikaongoni Takukuru na kwamba kila siku lazima waripoti saa tatu asubuhi.
Inadaiwa Mkulo kakutwa na Vogue 2 na Land Cruiser 2 zote mpya hata nylon hazijatolewa kwenye magari yenyewe nyumbani kwake Mikocheni.
Mzee wa Megawatts (Ngeleja) kashfa yake ni ya zile Benz zake alizoleta na Air Cargo na madudu mengine wizarani.
Maige kauza Vitalu vya walafi serikalini kawazidi akili wenzake (isichukuliwe kama namtetea)
Habari zaidi zitafuatia...
Wewe nani kakuuliza umepata wapi hela za kununua hereni hizo za dhahabu na almasi ulizovaa hapo, una mshahara gani wewe Agyman? It is the height of absurdity to second guess people'What? What's the difference? Rudia tena:"jamaa hatuhumiwi kwa kumiliki hayo magari, ila tuhuma ipo kwenye upatikanaji wa hayo magari..." What's the difference between tuhuma ya kumiliki magari na tuhuma ya kupata magari?
Watanzania hasa vijana, kwa ufahamu wangu na udadisi juu ya Politics, Power Strugle and Economy naomba nisimame kuhesabiwa miongoni mwa watakao dumu daima upande wa utetezi kwa Ezekiel Maige.
Mzimu mkubwa unaomwandama huyu Mtanzania si nyumba aliyonunua $0.7M cash au njia aliyotumia kupata hiyo pesa bali ujasiri wake kuvuluga syndicate ya waporaji wa maliasili zetu waliodumu kwenye sekta tangu miaka ya mwanzo wa 1960.
Na kubwa la pili ni malengo makubwa na dhamira ya dhati iliyokuwa ikijidhihirisha katika mafanikio yaliyokuwa yameanza kupatikana katika sekta ya Maliasili na Utalii. Maize asingeweza kuyafanya haya bila kuyagusa na kuyabatilisha maslahi makubwa na ya toka enzi ya wakubwa wa nchi hii. Wakubwa hao wengi wako nje ya serikali na hata nje ya nchi. Wananguvu za kubadilisha uongo kuwa ukweli na kinyume chake vilevile. Mwiko aliouvunja Maize ndo Ngeleja alidhani kwa kuuenzi nao watamuenzi kumbe haikuwa hivyo. Ngeleja hajavuluga maslahi ya mkubwa yeyote ila pale wao walipokula yeye kakomba mboga hadi kulamba mwiko.
Rai yangu kwa vijana wasimeze habari kama zinavyowekwa kwenye vyombo vya habari. Na katika yanayoitwa kashfa kuu kupitia kamati za Bunge msichukulie wajumbe kama Malaika na kudhani kila wanalotaarifu ndo ukweli. Hata marefa wana timu zao! Ukitaka kunielewa rejea mswada wa kuondoa kodi kwenye mafuta ya taa uone jinsi Bunge na Kamati zinavyotumika ki-udalali hata katika masuala nyeti.
Nikipata muda nitajitahidi nifumbue mafumbo zaidi labda vijana wenzangu mtanielewa. Hapa mimi si mjumbe wa Maige bali ni muathirika wa ukweli uliopindishwa. Kwa jinsi hii taifa litaendelea kuwakosa watu wenye maamuzi yenye manufaa kwa wananchi. Mbaya zaidi sijazisikia sauti za Wazawa ambao kwa hakika kabisa walipewa vitalu kwa mara ya kwanza toka Tanganyika huru. Simameni jamani, jitokezeni muuweke ukweli huu wazi na Watanzania wasiojua waelewe pumba na mchele.
Ni dhambi kubwa kumuacha Maige kujitetea mwenyewe kwa jambo alilolifanya kwa nia safi kuwanufaisha ninyi Wazawa.
Wakuu,
Taarifa zilizopenya kwenye viunga hivi zinadai kuwa mawaziri walioachishwa kazi [Mkulo, Maige na Mzee wa Megawatts (Ngeleja)] wako kikaongoni Takukuru na kwamba kila siku lazima waripoti saa tatu asubuhi.
Inadaiwa Mkulo kakutwa na Vogue 2 na Land Cruiser 2 zote mpya hata nylon hazijatolewa kwenye magari yenyewe nyumbani kwake Mikocheni.
Mzee wa Megawatts (Ngeleja) kashfa yake ni ya zile Benz zake alizoleta na Air Cargo na madudu mengine wizarani.
Maige kauza Vitalu vya walafi serikalini kawazidi akili wenzake (isichukuliwe kama namtetea)
Habari zaidi zitafuatia...
Wakuu,
Taarifa zilizopenya kwenye viunga hivi zinadai kuwa mawaziri walioachishwa kazi [Mkulo, Maige na Mzee wa Megawatts (Ngeleja)] wako kikaongoni Takukuru na kwamba kila siku lazima waripoti saa tatu asubuhi.
Inadaiwa Mkulo kakutwa na Vogue 2 na Land Cruiser 2 zote mpya hata nylon hazijatolewa kwenye magari yenyewe nyumbani kwake Mikocheni.
Mzee wa Megawatts (Ngeleja) kashfa yake ni ya zile Benz zake alizoleta na Air Cargo na madudu mengine wizarani.
Maige kauza Vitalu vya walafi serikalini kawazidi akili wenzake (isichukuliwe kama namtetea)
Habari zaidi zitafuatia...
mie nadhani kwa hawa watu tutumie hukumu ya sharia kuwahadhibu hawa mafisadi.
Mbona kama imekuwa sirisiri sana, ina maana hata watu wa magazeti hawaijainyaka hiyo!Eti, haiwezekani wakatolewa hadharani kwa wananchi wenye hasira kali wakamaliza game? mbona vibaka wa simu na kuku huwa wanakutana na wananchi wenye hasira kali? hawa vipi hawaingii kwene category hii? laiti wezi wa kuku nao na wale wa simu wangekuwa wanachunguzwa na Takokuru haki ingepatikana bila ya ncha ya upanga
Watanzania hasa vijana, kwa ufahamu wangu na udadisi juu ya Politics, Power Strugle and Economy naomba nisimame kuhesabiwa miongoni mwa watakao dumu daima upande wa utetezi kwa Ezekiel Maige.
Mzimu mkubwa unaomwandama huyu Mtanzania si nyumba aliyonunua $0.7M cash au njia aliyotumia kupata hiyo pesa bali ujasiri wake kuvuluga syndicate ya waporaji wa maliasili zetu waliodumu kwenye sekta tangu miaka ya mwanzo wa 1960.
Na kubwa la pili ni malengo makubwa na dhamira ya dhati iliyokuwa ikijidhihirisha katika mafanikio yaliyokuwa yameanza kupatikana katika sekta ya Maliasili na Utalii. Maige asingeweza kuyafanya haya bila kuyagusa na kuyabatilisha maslahi makubwa na ya toka enzi ya wakubwa wa nchi hii. Wakubwa hao wengi wako nje ya serikali na hata nje ya nchi. Wananguvu za kubadilisha uongo kuwa ukweli na kinyume chake vilevile. Mwiko aliouvunja Maige ndo Ngeleja alidhani kwa kuuenzi nao watamuenzi kumbe haikuwa hivyo. Ngeleja hajavuluga maslahi ya mkubwa yeyote ila pale wao walipokula yeye kakomba mboga hadi kulamba mwiko.
Rai yangu kwa vijana wasimeze habari kama zinavyowekwa kwenye vyombo vya habari. Na katika yanayoitwa kashfa kuu kupitia kamati za Bunge msichukulie wajumbe kama Malaika na kudhani kila wanalotaarifu ndo ukweli. Hata marefa wana timu zao! Ukitaka kunielewa rejea mswada wa kuondoa kodi kwenye mafuta ya taa uone jinsi Bunge na Kamati zinavyotumika ki-udalali hata katika masuala nyeti.
Nikipata muda nitajitahidi nifumbue mafumbo zaidi labda vijana wenzangu mtanielewa. Hapa mimi si mjumbe wa Maige bali ni muathirika wa ukweli uliopindishwa. Kwa jinsi hii taifa litaendelea kuwakosa watu wenye maamuzi yenye manufaa kwa wananchi. Mbaya zaidi sijazisikia sauti za Wazawa ambao kwa hakika kabisa walipewa vitalu kwa mara ya kwanza toka Tanganyika huru. Simameni jamani, jitokezeni muuweke ukweli huu wazi na Watanzania wasiojua waelewe pumba na mchele.
Ni dhambi kubwa kumuacha Maige kujitetea mwenyewe kwa jambo alilolifanya kwa nia safi kuwanufaisha ninyi Wazawa.
Kwenye Serikali ya Tanzania, Wizara ya Malia Asili na Utalii ni Wizara ngumu sana labda hata kuliko Wizara ya Nishati na Madini! Kuna viwanda vya propaganda na ukweli-uowongo (true-Lies) vingi kuliko hata vile vinavyomilikiwa na Waislael ndani ya Serikali ya Marekani. Imekuwa bahati mbaya sana tunao watu wachache sana wenye uwezo wa kubaini mbivu na mbichi. Wengi wetu hata kumbukumbu hatuna kiasi kwamba technique moja inaweza kutumika kuwaadaa watu zaidi katika matukio zaidi ya kumi, wasigundue na bado wakasadiki!
Mazingira ya Balozi Kagasheki kujiuzuru hayatofautiani sana na ya Ezekiel Maige. Hili jambo la Kagasheki kuwa cornered ni suala lililokuwa wazi kabisa toka pale alipoanza kuwakosoa watendaji wake wakuu hadharani.
cc: Pasco, Uswe, Gambas